Jaribisha kuongeza hivi vitu vitatu (3), kubadirisha muonekano wa Sebule au Chumba chako!

Mad Max

JF-Expert Member
Oct 21, 2010
26,144
75,240
Wakuu, kwema?

Kwa wanaoishi ghetto au wenye sebule, wakati unapambana kubadirisha muonekano wa chumba chako, ebu jaribisha na hivi vitu vitatu hapa chini, vinaweza kubadirisha sana muonekano wa room yako.

1. Picha za Ukutani

Hii ndio urembo wa sebule wa bei ndogo kabisa. Kutegemeana na ukubwa wa chumba chako, unaweza kutafuta picha za size tofauti tofauti, na za muonekano tofauti tofauti.
dark-colorerd-wall-trends.jpg

Picha za kuzipa kipaumbele ni potraits za kuchorwa (canvas), landscape kuonesha nature na arts za aina nyingine, ziwe unique sio za Mama Africa kila nyumba tukienda tunazikuta.
47_13_58529_1200.jpg

Potezea kuweka picha za sura yako, achievements kama siku ya engagement, ndoa au graduation au picha ya sura yako.
modern-living.jpg

Picha zitegemeane na rangi ya ukuta, mapazia na lightning condition ya room yako. Idadi ya picha pia jitahidi zisiwe nyingi sana.

2. Maua feki (Artificial flowers)

Siku hizi yamejazana sana madukani ya size tofauti tofauti. Ebu pale mbele weka ua ata la urefu 60cm kwenda mbele. Rangi utachagua wewe ila kijani au white inakuaga unayama sana. Maua yakae kwenye chombo chake safi.
ScreenShot2021-04-20at2.34.24AM-4ba20c6b63c644d1a6cdfe6837deaa56.png

Pia unaweza kua na maua madogo chini ya cm 30 ya kukaa kwenye meza au showcase ya TV au redio. Nayo yanatengeneza nature flani ya kucalm akili zetu baada ya mishe za mjini.
8_01.jpg

3. Aquarium (Samaki wa Mapambo)

Hii ukiwa na space na kapesa za ziada. Unafuga samaki zako kadhaa wanakua pet wako, kwa sisi tusioweza kufuga mbwa au nyau kama pets.
Bedroom-Tank.jpg

Samaki ni cheap, na wanahitaji minimun to no attention kabisa, sio kama dog na cat, ila wanakupa company sana muda mwingine ukiwa mpweke.
room1.jpg.d566fdca891089b3523bb1d0a52d5e6d.jpg

Lakini pia, wanabadirisha muonekano wa room yako na kuifanya ionekane ya kipekee sana sana sana kwa mabachela. Mpenzi wako akikutembelea atafurahi sana.

Vitu vya ziada unaweza kuviongezea:
  • Taa za kusimama
  • Kioo kirefu (kama hauna dressing table)
  • Picha ya kikosi cha team yako pendwa
Jifikirie mara mbili ukitaka kuweka vitu hivi:
  • Taa za marangi rangi au disco lights.
  • Bendera za vyama au Sura za viongozi
  • Picha au alama za uchochezi wa kidini, kikabira au uvunjaji wa sheria

Hitimisho:

Sio lazima uweke vyote, kutegemeana na size ya room na budget na mapendeleo binafsi lakini unaweza kujaribu kimoja wapo hapo uone.

Je, wewe unapendelea urembo gani room kwako ungependa washauru na wengine?
 
Wakuu, kwema?

Kwa wanaoishi ghetto au wenye sebule, wakati unapambana kubadirisha muonekano wa chumba chako, ebu jaribisha na hivi vitu vitatu hapa chini, vinaweza kubadirisha sana muonekano wa room yako.

1. Picha za Ukutani

Hii ndio urembo wa sebule wa bei ndogo kabisa. Kutegemeana na ukubwa wa chumba chako, unaweza kutafuta picha za size tofauti tofauti, na za muonekano tofauti tofauti.
View attachment 3015362
Picha za kuzipa kipaumbele ni potraits za kuchorwa (canvas), landscape kuonesha nature na arts za aina nyingine, ziwe unique sio za Mama Africa kila nyumba tukienda tunazikuta.
View attachment 3015363
Potezea kuweka picha za sura yako, achievements kama siku ya engagement, ndoa au graduation au picha ya sura yako.
View attachment 3015364
Picha zitegemeane na rangi ya ukuta, mapazia na lightning condition ya room yako. Idadi ya picha pia jitahidi zisiwe nyingi sana.

2. Maua feki (Artificial flowers)

Siku hizi yamejazana sana madukani ya size tofauti tofauti. Ebu pale mbele weka ua ata la urefu 60cm kwenda mbele. Rangi utachagua wewe ila kijani au white inakuaga unayama sana. Maua yakae kwenye chombo chake safi.
View attachment 3015365
Pia unaweza kua na maua madogo chini ya cm 30 ya kukaa kwenye meza au showcase ya TV au redio. Nayo yanatengeneza nature flani ya kucalm akili zetu baada ya mishe za mjini.View attachment 3015366

3. Aquarium (Samaki wa Mapambo)

Hii ukiwa na space na kapesa za ziada. Unafuga samaki zako kadhaa wanakua pet wako, kwa sisi tusioweza kufuga mbwa au nyau kama pets.
View attachment 3015369
Samaki ni cheap, na wanahitaji minimun to no attention kabisa, sio kama dog na cat, ila wanakupa company sana muda mwingine ukiwa mpweke.
View attachment 3015370

Picha ya mama Samia. Kiukweli anaupiga wa kutosha, Hadi unamwagikia
 
Hao samaki naona wananifaa. Wanapatikana wapi mkuu?
Kuna mwamba anaitwa Alvin Aquarium kama sijakosea, jamaa anajua sana. Ilo jina la social media.

Ana base sana Arusha na sasa amefika Dar.
 
Wakuu, kwema?

Kwa wanaoishi ghetto au wenye sebule, wakati unapambana kubadirisha muonekano wa chumba chako, ebu jaribisha na hivi vitu vitatu hapa chini, vinaweza kubadirisha sana muonekano wa room yako.

1. Picha za Ukutani

Hii ndio urembo wa sebule wa bei ndogo kabisa. Kutegemeana na ukubwa wa chumba chako, unaweza kutafuta picha za size tofauti tofauti, na za muonekano tofauti tofauti.
View attachment 3015362
Picha za kuzipa kipaumbele ni potraits za kuchorwa (canvas), landscape kuonesha nature na arts za aina nyingine, ziwe unique sio za Mama Africa kila nyumba tukienda tunazikuta.
View attachment 3015363
Potezea kuweka picha za sura yako, achievements kama siku ya engagement, ndoa au graduation au picha ya sura yako.
View attachment 3015364
Picha zitegemeane na rangi ya ukuta, mapazia na lightning condition ya room yako. Idadi ya picha pia jitahidi zisiwe nyingi sana.

2. Maua feki (Artificial flowers)

Siku hizi yamejazana sana madukani ya size tofauti tofauti. Ebu pale mbele weka ua ata la urefu 60cm kwenda mbele. Rangi utachagua wewe ila kijani au white inakuaga unayama sana. Maua yakae kwenye chombo chake safi.
View attachment 3015365
Pia unaweza kua na maua madogo chini ya cm 30 ya kukaa kwenye meza au showcase ya TV au redio. Nayo yanatengeneza nature flani ya kucalm akili zetu baada ya mishe za mjini.View attachment 3015366

3. Aquarium (Samaki wa Mapambo)

Hii ukiwa na space na kapesa za ziada. Unafuga samaki zako kadhaa wanakua pet wako, kwa sisi tusioweza kufuga mbwa au nyau kama pets.
View attachment 3015369
Samaki ni cheap, na wanahitaji minimun to no attention kabisa, sio kama dog na cat, ila wanakupa company sana muda mwingine ukiwa mpweke.
View attachment 3015370
Lakini pia, wanabadirisha muonekano wa room yako na kuifanya ionekane ya kipekee sana sana sana kwa mabachela. Mpenzi wako akikutembelea atafurahi sana.

Vitu vya ziada unaweza kuviongezea:
  • Taa za kusimama
  • Kioo kirefu (kama hauna dressing table)
  • Picha ya kikosi cha team yako pendwa
Jifikirie mara mbili ukitaka kuweka vitu hivi:
  • Taa za marangi rangi au disco lights.
  • Bendera za vyama au Sura za viongozi
  • Picha au alama za uchochezi wa kidini, kikabira au uvunjaji wa sheria

Hitimisho:

Sio lazima uweke vyote, kutegemeana na size ya room na budget na mapendeleo binafsi lakini unaweza kujaribu kimoja wapo hapo uone.

Je, wewe unapendelea urembo gani room kwako ungependa washauru na wengine?
seen.
 
Inapendezesha sana room
 
Back
Top Bottom