kwisha
JF-Expert Member
- Sep 9, 2021
- 1,751
- 4,788
Japo kuwa wanasema ndoa ni kuvumiliana je unaweza kuvumilia na ili
Kuna Tabia ambayo mke wangu anayo ya kutaka kunimiki kisa sex nakunipelekesha kwa kutumia njia ya sex
Nikiomba sex kwake kwa akili yake yeye ndo anaona amepata avantage ya kunitumisha na kunimiliki utasikia nifanyie ivi nenda kanichukulie kitu fulani ukirudi tutafanya mambo inakuwa mengi mpaka unachoka wewe mwenyewe nikikataa kweli sex sipati
Nimejaribu kusema kuhusu tabia hii lakini naona inaendelea