Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,392
- 121,025
Wanabodi,
Leo nawaendeshea somo la kitu kinachoitwa assets and liabilities, kwenye siasa.
Kwenye biashara assets ni mtaji na rasilimali na liabilities ni madeni, na hasara, biashara ikiwa nzuri, assets ni faida, biashara ikianguka, una dispose some of your assets into liabilities kuiokoa biashara isifilisike.
Kwenye siasa , the biggest and the most valuabe assets ni watu, na the biggest liabilities ni viongozi wa hovyo.
Kwenye assets na liabilities, kunatumia kanuni ya kibaya chako ni kizuri cha mwenzio kama ganda la mua la jana, wewe umelitupa kama uchafu, kwa chungu kwake ni kivuno.
Mfano mzuri wa asset na liabilities ni Edward Lowassa, japo alikuwa ni a liability kwa urais kupitia CCM, ile 2015, alikuwa ndie asset kwa urais kupitia Chadema uchaguzi wa 2015 na alishinda ila ndio vile tena!. Hoja ya Lowassa kushinda uchaguzi wa 2015 ni hii Elections 2015 - Kama hii ni kweli, then serikali yetu ni serikali dhalimu na haramu? Hukumu ya karma ijuu yake! na ushahidi usiotia shaka ni huu Elections 2015 - Imethibitishwa pasi na shaka kuwa ni kweli kabisa, Zanzibar, Maalim Seif na CUF ndio walioshinda
Sasa ni zamu ya Tundu Lissu, japo he is a very bad liability kwenye uenyekiti wa Chadema, lakini kwa the political dynamics ya siasa zetu na political landscape ya uwanja wetu tenge wa mchezo wa siasa, Tundu Lissu ndie the one and only asset Chadema has kwenye urais kuweza kuwangiza Ikulu!.
Kama 2015 Chadema ilimtumia Lowassa kama mtaji wa kuvunia kura licha ya tuhuma zake za ufisadi, Je this time around, Mwenyekiti Mbowe na Chadema, watakuwa tayari, autose uenyekiti wa Chadema, kumpisha Lissu ili kuutumia mtaji wake kuwaingiza ikulu 2025, kisha huko mbele ndio watawekana sawa, au wataamua, kuliko ku risk Chadema chini mtu hatari kama Lissu, kwenye usukukani, maana kuna kitu Lissu ni zaidi ya Magufuli!,
Magufuli japo alikuwa ni dikteta, lakini alifanya mambo makubwa, Tundu Lissu ni kama Magufuli na zaidi ya Magufuli Uchaguzi 2020 - Tundu Lissu ndiye asimame na Magufuli 2020? Ameonyesha uwezo zaidi ya Magufuli!
Magufuli alikuwa ni mkweli na hakopeshi, Tundu Lissu pia ni mkweli na hakopeshi Tundu Lissu kama JPM, ni mtu mkweli. Asema ukweli jinsi ukomo wa uongozi ulivyoyeyuka CHADEMA
Tofauti ya Tundu Lissu na Magufuli, Magufuli alikuwa ni mkweli aliyenyooka, hapindishi pindishi, Lissu ni mkweli ila pia ni muongo muongo, ile kauli ya Rushwa Chadema kutaka kuhongwa na Abdul na Mama yake, kumbe ni uongo mtupu!, ukweli ni huu
View: https://youtu.be/K41w3m6jjT4?si=G41HEK6aNenz9eKl
Lissu is a very bad liability kwenye uongozi wa pamoja, he is not a good team player, hivyo niliwahi wauliza Chadema Msikie Tundu Lissu Hapa, Anauliza Kama Wenzake Wana Akili Kweli! Maridhiano Ayaita Ujinga. Je, Lissu Bado ni Asset or Sasa ni A Liability? Msikilize mwenyewe hapa
View: https://youtu.be/Qa59DIQs2yI?si=hwz4yOgUbqsn8O47
Hizo ndio lugha GenZii wanataka kuzisikia!.
Moja ya very bad liabilities za Tundu Lissu ni mropokaji, mdomo wake hauna breki!, huu uropokaji wa Tundu Lissu ambao japo ni liability, ndio the biggest asset ya kumuingiza ikulu 2025 kama kura tegemeo ni za GenZii, wanataka waropokaji wa type ya Lissu Inawezekana Wamarekani ni wajinga ajabu? Wamemchagua mwanaume na kumtosa Mwanamke. 2025 Watanzania tuchague mwanamke kuonesha tuna akili zaidi yao?
Tundu Lissu sio tuu ni kama Magufuli, pia ni kama Donald Trump Kilichotokea Uchaguzi wa Marekani, kinaweza kutokea Uchaguzi 2025?. Tuyatumie matokeo yao kama shamba darasa la 2025 au wao ni wao, na sisi ni sisii?
Tundu Lissu ni mbaguzi sana wa jinsia, Mbowe alitakaga kuwasamehe wale wadada 19, baada ya Chadema kuwatimua, Mbowe akawaita Nairobi, akawabembeleza waombe msamaha, Lissu akagoma Je, Wajua? Wamarekani ni Wabaguzi wa Kichinichini. Wanaendekeza Mfumo Dume, Ubaguzi wa Jinsia, Racism na Kuwabagua Wahamiaji
Lissu atavuna sana kura za kundi kubwa la wajinga wajinga ndio walio wengi Kiukweli wazungu ni wabaguzi Sana!, Sio tuu wanawabagua wanawake, bali hata Afrika, Sijui Wanatuona Kama Manyani?
Tundu Lissu ni mtu hatari sana asiye na huruma na jinsia ya kike!, kiafrika wanawake wanapaswa kuwa handled with care and courtesly, lakini Tundu Lissu hana huruma na wanawake, anawasulubu bila huruma Mhe. Tundu Lissu, Please Acha Kumsulubu Spika Wetu! Unammaliza Kabisa Hadi Ameshindwa Kazi! hivyo CCM ikisimamisha mgombea mwanamke 2025 halafu Lissu akagombea kwa upinzani, kiukweli... naomba nisimalizie...
Tundu Lissu ni mtu wa vurugu vurugu na ma kashkash, angalia bunge la sasa lilivyotulia kama maji mtungini!, Vurugu za Bungeni: Tundu Lissu, Anastahili Adhabu Kali?!. Ni Mtundu Toka Shule!. akigombea urais, ataleta ushindani wa kweli na sio igizo la uchaguzi!
Japo Chadema wanalalamikia udikiteta, Chadema wakishika nchi,wana risk ya kuwa madikiteta hatari kuliko CCM Elections 2015 - CHADEMA ikipewa Nchi, Oktoba 2015, Hakuna Hatari Kugeuka Utawala wa Kidikteta? Nauliza Tuu!
Swali ni je Chadema wataamua kuutumia huu mtaji wa Tundu Lissu na kuingia ikulu 2025 kwa Mbowe kumpisha Lissu kwenye Uenyekiti, au bora Mbowe aendelee na wao waendelee tuu kuwa wapinzani milele?.
Jibu litapatikana leo saa 5:00 asubuhi hii.
Paskali.