Stuxnet
JF-Expert Member
- Feb 12, 2011
- 13,020
- 22,596
Jamaa ana ukwasi siyo wa kawaida. Anashindana kumiliki mabasi na akina Shabiby na Aboud. Mabasi yake yanaitwa Esther.
Anamiliki/ anewahi kumiliki timu za Singida Big Stars, Ihefu, DTB na mara nyingine husaidia kulipa mishahara wachezaji wa Tanga.
Kwa vile amekanusha mara kwa mara kuhusu umiliki wa mali hizi, IKIKUPENDEZA Mh Rais mpumzishe Mwigulu Nchemba hata kwa miezi 6. Kama hizo timu hazita STRUGGLE kulipa mishahara basi tutajuwa kuwa MMILIKI ni mtu mwingine.