Kinoamiguu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 11,703
- 14,915
Kwako mbunge wa Bumbuli January Makamba,
1. Uliwaahidi kuwatengenezea uwanja pale Toghotwe! Ukaishia kuuchimba uwanja ule bila kuumalizia hilo haliwezi kukuacha salama. Ni bora ungeuacha ulivyokuwa uwanja ule ingekusaidi. Wanawake Bumbuli uliwadanganya. Wao walikaa kimya wakijua ungetenda hukutenda. Hutabaki salama.
2. Bumbuli hawana maji japo wapo karibu na vyanzo vya maji watu wameongezeka vyanzo vilevile. Hutabaki salama kwa hili.
3. January barabara toka soni kwenda bumbuli ni mbovu na ya msimu. Uliadi kuijenga kiwango cha lami . Barabara hiiii mbovu hujaijenga uliwdanganya. Wazir bashungwabalikuja na kiwaamba ni ya kiwango cha cha changarawe na si lami. Ulifanganya? Tuseme ullikuwa hujui? Hujui vipi wewe ni Waziri na mjumbe wa baraza la Mawaziri?
Mbunge wa bumbuli unakuja bumbuli kwa million tena ya hafla, unawaza uraisi badala ya kiwaza jimbo liliokufikisha hapo?,twafa. Unajua matatizo ya maji yaliyopo mahezqngulu? Bila shaka hujui?,utajuaje unawaza urais! Uraisi wakati jimbo linakushinda?
Nani aliuza mashamba ya chai? Ulimuuzia MO Wa simba? Tunajua hata ulimuoa babra ili upate pesa ya kampenì toka kwa mo. Hutafanikiwa .
4. Kuhamishwa kwa halmashauri bumbuli to kwehangala,, ilikuaje hata ukakubali hali kule bumbuli majengo yale yakabaki magofu?
Tunajua kwann unapita bila kupingwa, tunapambana na weww mwakani. Tunajua kazi anazofanya katibu wa mbunge pale bumbuli.
Tutakuonesha
.