mwananyaso
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 2,995
- 3,400
Nimeiangalia clip yako ukikabidhi ofisi ya wizara ya mambo ya nje kwa Thabiti Kombo, uso wako umenyon'gonyea sana japo unajaribu kutabasamu kuficha hisia zako lakini uso wako unakataana na tabasamu lako, hii ndio dunia.
Pia soma: Uteuzi na Utenguzi: Nape, January na Byabato out! Jerry Silaa ahamishiwa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari
Ngoja nisubiri na kwa Nape Nnauye nione body language yake pia
"Uongozi ni koti la kuazima"
=====
Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, January Makamba leo July 27,2024 amekabidhi rasmi ofisi kwa Waziri wa sasa wa Wizara hiyo, Balozi Mahmoud Thabit Kombo.
Makamba amesema “Nimempongeza, kumtakia heri na kumuahidi ushirikiano Waziri Kombo, nimemshukuru Mhe Rais kwa imani na fursa ya kuhudumu, nimeishukuru Familia nzima ya Wizara kwa kazi tuliyofanya pamoja na kuwatakia kila la kheri”