REALESTATE
Member
- Jan 28, 2024
- 15
- 39
Taifa la kimarekani U.S.A ni taifa lenye nguvu duniani kiuchumi na kijeshi hivyo ndo walivyotuaminisha kwa kutumia vyombo vyao vya habari. Watuaminisha hivyo, ila kiuhalisia sio kweli. Nasema hivyo kwasababu, mfano matokeo ya ajali ya moto huu moto wa msituni.
Huu ulitokea Los Angeles au Califonia moto wa nyika yaani wildfire 🔥 ni tamaduni yao sio kitu cha ajabu na walishaozea,kulingana na mazingira yao.
Kulingana na maelezo yao walikuwa katika kipindi cha mda mrefu bila kupata mvua ya kutosha.
Kwa nini huu moto umeleta janga kubwa katika historia yao!!!?.
Ngoja kidogo niuelezee kwa uchache moto nyika🔥.
Moto nyika au wildfire kwa kimombo, ni moto ambao hutokea kwenye msitu kiasilia lakini kuna sababu nying zinazoweza kusabisha kutokea. Ila sababu kuu mara nying ni kutokana na kukauka kwa mimea na uoto wa asili kutokana na ukame wa mda mrefu unaweza kupelekea moto kutozimika kwa urahisi.
Unaweza ukatumia njiti moja au kipande cha sigara au hata radi tu kusababisha moto kubwa sana.
Soma Pia: Marekani: Moto Mkali Wateketeza Ekari 3,000 na Kuwafurusha Maelfu ya Watu Los Angeles
Sasa utakapo jua siasa ni uhuni (siasa ni kudalalia maisha ya watu) Nataka kukuthibitishia kuwa huu moto ulikuwa unaweza kuzuiilika. Hawa wamerekani wametuaminisha kuwa ni watu wenye akili kubwa duniani, lakini hao hao wanasemaga majanga yanayo tokea huku kwetu Afrika wanasemaga hatuna technology ya kutosha na kushindwa kujua majanga yanayo kuja.
Mfano mafuriko huwa wanasemaga sister ni wazembe kwàajili tunashindwa kupima kiasi cha mvua itakayo nyesha na kuchukua tahadhari yake. Kama Calfornia imepitia kipindi cha ukame (DRYNESS) mda mrefu.
Walishindwa nini kuubadilisha Carlifonia into greenland wapande miti ya kupanda na wafanye umwagiliaji kwa kipindi chote hicho.
Na wao ni taifa kubwa na wenye akili kubwa duniani??
Nataka kusema hawa Wamarekani ni waongo sana wametuaminisha na vyombo vyao vya habari.
Kuna mtu anaweza sema haiwezekani kubadili kuwa Greenland, je Gaddafi kwenye jangwa kule Libya aliwezaje??