Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 281,350
- 731,812
Kazi ya ugaguzi ina vitengo vya customer care, ushauri nasaha, afya, ndoa na mahusiano..... Si kila wakati ni matunguli na vibuyu... Kuna nafasi pia za kuangusha moja moja.. Na kufanya bumpingi....
Kuna maneno watu wazima wakiwa wenyewe huyatamka.. Na pengine bila kutaka, yani sio kwa hiari yao... Yanawatoka tu... Maneno hayo ni tofauti kabisa na yanayotamkwa na vijana wa siku hizi.
Watu wazima huwa wanasema nipokee nakuja... Hii tafsiri ina tafsida na ina ukawaida.... Ndugu ama jamaa akikupigia simu akakuomba umpokee na ukafanya hivyo basi hufurahi sana... Kinyume chake hata asipokasirika ila atabaki na kinyongo.
Tafsida ya nipokee nakuja nayo ni vilevile... Kuna namna ya kumpokea mwenzako baada ya safari ndefu na mzigo kichwani.. ulishamuandaa sasa mpokee mzigo apumzike .... Ukisema unajojoa utaulizwa kwani maliwatoni hapa!? au wahuni watakwambia toa na kubwa kabisa
Kuna baadhi ya michezo ina mbwembwe na raha na vituko vyake lakini anayefaidi zaidi uwaacha wachezaji basi ni wapenzi watazamani almaaruufu wazee wa chabo
Kuna ngeli zenye vina vya aina yake wallah si za dunia kunako pale kiwanja cha 6 kwa 6 hata kama kiuhalisia ni porini
Nishike kunku
Nipe yote.... (?)
Ntukanie...
Kaa hivi geuka vile... (Khaa hata gym sio kwa mitindo hii)
Change side
Nataka sumaku...
Chukua yote wizi mtupu
Siku hizi ni nadra sana hizi labda kwa msaada wa booster za vumbi la Kongo na vidonge
Siku hizi mmh hata vilainishi havitumiwi tena!? ni ukumbwa wa maumbile pinzani!? Ama ndio ishu ya vibamia!? Au ni ishu ya upungufu wa nguvu za via vya uzazi ?
Kuna mengi wanayakosa vijana wetu leo.. Rejea yale maarifa ya kwenye mada bustani ya manukato siku hizi mahaba si mahaba mapenzi si mapenzi ni kubakana tu na binti hata akikata kiuno ni fujo tupu
Karibuni kilingeni kwa huduma ya bure ya jando na uyago