Janabi hana Exposure wala Experience yoyote ya kimataifa ya kudeal na Afya , ukiachana na nadharia zake za kutoa miongozo katika ulaji hana sifa .

Janabi hana Exposure wala Experience yoyote ya kimataifa ya kudeal na Afya , ukiachana na nadharia zake za kutoa miongozo katika ulaji hana sifa .
Na kama wakimpa basi WHO itakua imejishushia hadhi sana asee... Haitakua na tofauti na Ngo ya Steve Nyerere, Mama Ongea na Mwanao😄😄
 
Nguvu Kubwa inayotumika kumnadi na Mimi inanipa mashaka na uwezo wake kimataifa.... JK anazurura naye huko kumnadi....

Internationally inaonekana Yuko very poor.....
 
Back
Top Bottom