ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,319
- 50,533
juzi ilikuwa birthday yangu sikuwa na hela yoyote sikwenda beach wala photoshoot.kazi ikaanza jana hela sijui zimetokea wapi kile kimya kikaondoka jana watu nikashuhudia watu wakilewa na kufanya ngono..
Makundi niliyoona wamefurahi sana jana ni wakina mama sijui wamevunja vicoba pamoja na watu wa serikalini wao nilivyosikia wamepata habari ya mifumo kufunguliwa hivyo wakandarasi watalipwa madeni yao.
Leo tena asubuhi naona ni muendelezo wa furaha watu hawana habari kusubiri kufa tu wako na mood nzuri labda ni maandalizi ta mishahara kuingia kuna ka raha fulani na amani mioyoni.Na leo kitimoto kilo moja lazima sio ombi.sasa ndo maana nauliza maana huwa napenda kutafiti kama raha ni kwa upande wangu tu huku au hata kwenu mnai enjoy enjoy au mna ma shido huko full minuno?
#kutesa_kwa_zamu#