JamiiForums yaendesha mafunzo ya Uhakiki wa Taarifa kwa Wadau wa Tasnia ya Habari

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Apr 18, 2017
3,713
13,463
JamiiForums kwa kushirikiana na CIPESA kupitia Mfuko wa Haki za Kidijitali wa Afrika (The Africa Digital Rights Fund - ADRF) wameendesha mafunzo ya Uhakiki wa Taarifa kwa Wadau wa Tasnia ya Habari, Agosti 23, 2024 ambayo yamefanyika Dar es Salaam

Washiriki wamejifunza jinsi JamiiForums inavyopambana na taarifa potofu kupitia Jukwaa la JamiiCheck ambalo huwashirikisha Wananchi katika mchakato wa kuhakiki maudhui yanayopatikana ndani na nje ya Mtandao

Lengo la mafunzo hayo ni sehemu ya kuwajengea uwezo katika majukumu kwa kuweza kutambua taarifa potofu pamoja na athari zake hususan kwenye kipindi cha Uchaguzi na namna wanavyoweza kutumia ujuzi na nyenzo mbalimbali kuzihakiki.
1724665873567.jpg


1724665870486.jpg
1724665872899.jpg
1724665873299.jpg
 
Back
Top Bottom