JamiiForums
JF Official Account
- Nov 9, 2006
- 6,229
- 5,291
Matukio mbalimbali wakati wa warsha iliyoandaliwa na JamiiAfrica kuwakutanisha Wanahabari na Wadau wa Habari kupeana elimu kuhusu umuhimu wa kuripoti Habari na taarifa zenye maslahi ya Umma, lengo likiwa ni kuhamasisha Utawala Bora na Uwajibikaji, Jijini Dar es Salaam.
Warsha hiyo ya siku moja ilifanyika kwenye Hoteli ya Protea, Februari 19, 2025, ambapo Washiriki waliuliza maswali, walibadilishana uzoefu na kugusia ufahamu wao kuhusu lengo husika.