James Tupatupa King of Sport's Segment at Clouds FM Jumatatu hadi Ijumaa

princemikazo

JF-Expert Member
Jan 10, 2019
2,195
2,055
Habari zenu wadau wa jukwaa hili,natumai mko vyedi kabisa,,Clouds FM kuanzia Jumatatu hadi Ijumaa ina vipindi 7 ukijumlisha na Night kali ya Dj Elly the big Dady vinakua 8 including(Power breakfast,Leo tena,XXL,Jahazi,Amprifier,Sports Xtra na Ala za roho ambayo ijumaa huwa ina'replacewa na So so Fresh)Kati ya vipindi vyote hivi 7 kama sio 8 Vitatu tu ndo vina segment ya Michezo ukitoa Sports Xtra yenyewe kuna Hili game pale Power breakfast inayofanywa na Prisca Kishamba au Shaffih Dauda,Pia Nje ya Chaki pale XXL inayofanywa na James Tupatupa au Nicasius Kotinyo,pia Michapo ya Michezo pale Jahazini ikisimamiwa na Edigar Kibwana,Yahya Njenge au Issa Maeda,,,James Tupatupa"Turupa the Wonder boy superformer"pale nje ya Chawise anawafunika sana wenzake kwenye Segments zao,Ni mbunifu sana hasa ku'link muziki na Michezo pia yuko vizuri sana kwenye kuunganisha Neno au Mstari wowote Aliousema msanii aliekuja kwenye interview na tukio la kimichezo lililotokea,Big time Chaliangu Turupa I real appreciate you're so Talented buddah.
@ChaliiYaKijengeJuu lakini nalala Chini.
 
tatizo unasikiliza radio hiyo tu ndio maana.jaribu na radio zingine halafu uje tena.
Chalii akuna redio inayoskika Chuga alaf siskilizi asee.!!Siskilizagi tu Times FM,EFM,Wasafi FM ingawa waga naziskiliza online sometimes,,So dingilae me ni msikilizaji mzuri sana wa redio nyingi
 
Back
Top Bottom