Maisha yanazidi kuwa magumu kadri siku zinavyozidi kusonga, nimejiajiri lakini mtaji wangu ulikuwa mdogo sana hatimae umekata. kodi ya nyumba inaelekea kuisha, Chakula bado ni shida na hakuna ata dalili ya kupata ajira.
Nimesoma Bachelor ya IT, ninauwezo wa kufanya vizuri kabisa Mobile App development, Website na Database. Pia naweza kufanya kazi nyingine yoyote ya ICT kwa umakini zaidi.
Vilevile, niko tayari kufanya kazi yoyote ata nje ya ICT kama nitaelekezwa, jamani mwenye msaada wowote anisaidie naangamia.
Kama una kazi yoyote tuwasiliane 0718280035
Niko Dar es salaam