Stability
JF-Expert Member
- Jan 30, 2020
- 255
- 610
Nina mbwa mkubwa.
Sasa kila mara nikiongeza wadogo ili niongeze idadi hawakai hata mwezi wanakufa.
Wanapitia dalili za kunyongonyea, kupoteza hamu ya kula, wala hawarishi na then hata kam tabibu akija kuwapa dawa huwa wanakufa moja kwa moja.
Chakula wanakula makombwe ya nyumbani kwangu na manyama yale yale yanayotolewa buchani.
Najitahidi kuwapa dawa za minyoo na pale napoona wanaumwa nina mwita tabibu anakuja kuwapiga sindano kutokana na hali waliyonayo lakini unkuta haisaidii chochote.
Sasa nashindwa kuelewa nini tatizo, tabibu sio mzuri hawapi dawa nzuri au ni infection gani waliyonayo.