Maviyamende Member May 1, 2017 15 18 May 19, 2017 #1 Nahitaji kadi ya chama ila sijui kuna utaratibu gani ili nipate kadi ya chama
F finyango JF-Expert Member Aug 11, 2016 2,731 2,119 May 19, 2017 #2 Maviyamende said: Nahitaji kadi ya chama ila sijui kuna utaratibu gani ili nipate kadi ya chama Click to expand... Chama gani?
Maviyamende said: Nahitaji kadi ya chama ila sijui kuna utaratibu gani ili nipate kadi ya chama Click to expand... Chama gani?
Mgibeon JF-Expert Member Aug 7, 2011 11,300 21,476 May 19, 2017 #3 Chama zile Kula watoto au? Siku hizi zinauzwa kwa card?
Maviyamende Member May 1, 2017 15 18 May 19, 2017 Thread starter #4 finyango said: Chama gani? Click to expand... Ccm
Ciril JF-Expert Member Jan 10, 2011 8,557 7,160 May 19, 2017 #5 Maviyamende said: Ccm Click to expand... Nenda Lumumba,huku sio mahala pake..
Mwifwa JF-Expert Member Apr 3, 2017 48,461 125,841 May 19, 2017 #6 Maviyamende said: Nahitaji kadi ya chama ila sijui kuna utaratibu gani ili nipate kadi ya chama Click to expand... chama gani? Chaputa au.....
Maviyamende said: Nahitaji kadi ya chama ila sijui kuna utaratibu gani ili nipate kadi ya chama Click to expand... chama gani? Chaputa au.....
M mangatara JF-Expert Member Jul 6, 2012 14,517 14,148 May 19, 2017 #7 Labda kile cha Chaputa, ndo utaambiwa saa za kujichukulia card. Vyama vya siasa hawana shida na wanachama wa mda haswa from mikoani. Ngojea 2020 kwenye June.
Labda kile cha Chaputa, ndo utaambiwa saa za kujichukulia card. Vyama vya siasa hawana shida na wanachama wa mda haswa from mikoani. Ngojea 2020 kwenye June.
N nkongu ndasu JF-Expert Member Jan 19, 2013 22,532 6,624 May 19, 2017 #8 hongera kwa kuwaamini wana porojo...
Ze General JF-Expert Member May 10, 2014 1,508 1,253 May 19, 2017 #9 Mkuu kasitisha zoez la kugawa kadi akidai kuwa kila mtz ni mwanachama sasa wa chama ch kijan
ZILLAHENDER MPEMA JF-Expert Member Apr 4, 2015 2,055 4,243 May 19, 2017 #10 Maviyamende said: Nahitaji kadi ya chama ila sijui kuna utaratibu gani ili nipate kadi ya chama Click to expand... Makubwa haya!Mavi ya mende nayo yanataka kumiliki kadi ya ccm?Si vibaya,wakati wenzako wanaagizwa India,wewe utakuwa unaagizwa Chooni na majalalani.
Maviyamende said: Nahitaji kadi ya chama ila sijui kuna utaratibu gani ili nipate kadi ya chama Click to expand... Makubwa haya!Mavi ya mende nayo yanataka kumiliki kadi ya ccm?Si vibaya,wakati wenzako wanaagizwa India,wewe utakuwa unaagizwa Chooni na majalalani.
Kadhi Mkuu 1 JF-Expert Member Feb 4, 2015 19,562 23,430 May 20, 2017 #11 kama CCM nenda muda hata wa kazi hakuna wa kukuuliza utapewa ila kama chama pinzani jiandae na kukakamatwa kwa kukusanyika isivyo halali.
kama CCM nenda muda hata wa kazi hakuna wa kukuuliza utapewa ila kama chama pinzani jiandae na kukakamatwa kwa kukusanyika isivyo halali.
M mkaruka ataja rinu JF-Expert Member Aug 27, 2016 3,527 2,469 May 20, 2017 #12 Maviyamende said: Ccm Click to expand... Ngoja tumuulize Nape atupe muongozo wa kuzipata hizo kadi za CCM
Maviyamende said: Ccm Click to expand... Ngoja tumuulize Nape atupe muongozo wa kuzipata hizo kadi za CCM
barafuyamoto JF-Expert Member Jul 26, 2014 32,377 29,738 May 20, 2017 #13 nkongu ndasu said: hongera kwa kuwaamini wana porojo... Click to expand... Jamaa anajitambua sana, hivi kuna mpuuzi anayechukua uanachama wa chama cha dj aka mateja?? Sidhani.
nkongu ndasu said: hongera kwa kuwaamini wana porojo... Click to expand... Jamaa anajitambua sana, hivi kuna mpuuzi anayechukua uanachama wa chama cha dj aka mateja?? Sidhani.