Jamani nimechoka kuachika na wanaume

cold water

JF-Expert Member
Oct 6, 2021
230
930
Nawaza nimtafute sheikh anisomee Dua Kwa uyu mwanaume niliyempata saizi asiniache nimechoka,sitaki aniache nampenda😭😭.

Hofu yangu asije akapita hiv kama wale!! ''comment zenu sizielewi Hadi saizi niombe Dua kwaajili ya uyo mwanaume au niache niingie kichwa kichwa bila Dua?" Ha ha ha ha ha🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙌🙌🙌🙌🙌🙌
 
Nakushauri kuwa mtulivu aliyesahihi atatulia nawe....akupendaye atakubeba pamoja na mapungufu yako na kuyafanya hayo mapungufu yageuke utakatifu.....

Lakini pia jifunze kuacha cute
Mara nyingi anayeacha ndio huteseka na hujiona mkamilifu asiye na madhaifu , kubali kuachwa ili univers ikubebe wewe na mapungufu yako , kuacha sio fahari kwani tafiti huonesha wanaume au wanawake wanaotoa talaka huteseka wao zaidi kuliko wale waliowapa talaka, na hayo hupimwa ndani ya miaka 5 , 10, 15
 
Huenda tatizo hata sio lako kwa hiyo nashauri usijaribu kurekebisha chochote kama walioondoka waliamua wenyewe just be you
Nb:kama unakunywa pombe basi ataondoka kama hunywi na ni dada tu umetulia akiondoka nitafute
 
Attachments

  • 1728759764686.jpg
    1728759764686.jpg
    154.8 KB · Views: 1
Mara nyingi anayeacha ndio huteseka na hujiona mkamilifu asiye na madhaifu , kubali kuachwa ili univers ikubebe wewe na mapungufu yako , kuacha sio fahari kwani tafiti huonesha wanaume au wanawake wanaotoa talaka huteseka wao zaidi kuliko wale waliowapa talaka, na hayo hupimwa ndani ya miaka 5 , 10, 15
Okay
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom