HALAFU YEYE AKITOA VITU ANANIAMBIA KABISA "Baba x nakupa kitu sikiaaaaa..... pwaaaa" naonaga jambo la ajabu saaanayaani huyo amekuonyesha kuwa hana anachokuficha. inaweza kusadia hata kufukuza wezi. hebu na wewe mwonyeshe uwezo wako.
yani mimi nkisikia lazima niende toilet.. Siweezi kabisa
hapana sio kwa kujiachia hvyo na sasa nimeishi na mke wangu huu mwaka wa 6 ila hilo jambo siwezi labda usiku nimeala sijijui ndo nimpe kitu lakini na akili zangu timamu siwezi mangi.Jiachie mwanawane ya nini kujibana maisha yenyewe mafupi haya...
Habari wana jamvi?
Katika mahusiano kujuana vyema ni jambo la kawaida na raha sana, lakini je, unaweza mpenda mwenzi wako, kumzoea, kumjali n.k lakini ushindwe KUJAMBA MBELE YAKE?
watakaochukulia uzi wangu ni upuuzi sawa lakini binafsi hiko kitu siwezi kabisakabisa ila mwenzangu hajambo ananipaga vitu amaizing.
naomba mtazamo wako.
hvi na hawa the so called warembo kama akina wema na jokate nao huwa wanajamba?
hvi na hawa the so called warembo kama akina wema na jokate nao huwa wanajamba?
HALAFU YEYE AKITOA VITU ANANIAMBIA KABISA "Baba x nakupa kitu sikiaaaaa..... pwaaaa" naonaga jambo la ajabu saaana
hvi na hawa the so called warembo kama akina wema na jokate nao huwa wanajamba?