Jamani naomba ushauri; Je naweza kureseat masomo matatu?

Feb 1, 2017
67
48
Samahani kwa kubadili mawazo kila siku but napenda kutengeneza future yangu iwe poa

Tatizo lang ni matokeo ya form four necta 2016 yapo hiv hist,bios,chem,civ,kisw nna C eng-B geog-D na phyz na math nna f

Me malengo yangu ni kuwa doctor (MD) lakin kwa bahat mbaya ndo hivo tena hapa naomba mnisaidie nireseat je nkifanya hivo chet changu kitbadlishwa au ntakua navyo viwili
NAOMBENI MSAADA JAMANI KIPI NIFANYE.

Nataka kureseat masomo matatu yaan geog, phyz and math
 
Huwezi kusoma u daktari kama una f ya maths na phyz jipange upya

Ila mbona vya kusoma vipo vingi sana
 
Huwezi kusoma u daktari kama una f ya maths na phyz jipange upya

Ila mbona vya kusoma vipo vingi sana
Ni kweli napnd sana kuwa doctor pia njua kua huwez ksoma udr ukiwa na f ya math na phyz ndiy mana nkasema naomba nishaur kuhusu kureseat
 
Ngoja waje wataalamu
 
kwa uelewa wangu mdgo kureseat masom matatu kwa sasa ivi ni ngumu labd km utareseat masomo yote,,,,,alafu kwann usiangalie vitu vngn vya kufany tofaut na kureseat coz umri unazid kwend na maisha hayakusubirii
 
kwa uelewa wangu mdgo kureseat masom matatu kwa sasa ivi ni ngumu labd km utareseat masomo yote,,,,,alafu kwann usiangalie vitu vngn vya kufany tofaut na kureseat coz umri unazid kwend na maisha hayakusubirii
Much respct bruh
 
Kama umelivalia hilo njuga, rudia mtihani utakuwa na vyeti viwili ambavyo kama una credit zinazotakiwa unakwenda form5 au unapitia clinical officers course kable ya kwenda chuo. Maths na physics ni mahitaji pamoja na bio & chem ili upige PCB & Basic Math combi safi ya kuelekea MD and the like. Wala sioni kama ni kupoteza muda kama umeamua.
 
Dogo nakukushauli kwa maksi hizo hachana kabisa na habari za kureaset kwa sasa kwa sasa hakuna ule mtindo wa kutafuta credit ili uunganishe kama unavyojua kama ulipata f ya mathematics ukiwa kama school candidate pia uwezekano wa f kujirudia ni mkubwa tafuta tu chuo mambo mengine yatajipa mbele kwa mbele vinginevyo utajikuta unapoteza tu mda
 
Asanthe sana kaka
 
Bashite umemzidi hongera!!, km utataka kureaset piga msuli kwanza kabla haujajisajiri ukishaona umeiva nenda kajisajiri sana, maana unaweza ukajisajiri halafu ukakuta hauna maandalizi mazuri ukafanya vibaya, cjui upo mkoa gani nikuelekeze sehemu nzuri ya kureaset
 
Mkuu kwa Dar wapi pa zuri
 
Iringa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…