Kwa ushauri tembelea mbuga za wanyama,huko utajibiwa vizuri na utawaona hao fisi,halafu uje na mrejesho,lingine swali!Siyo mwandishi mzuri lakini nafikiri tutaelewana fisi ni moja Kati ya wanyama ambao ni wakorofi Sana siyo porini pekee hata wakiingia mtaani Moto lazima uwake.
Kuna story ambazo nazikia .mara nyingi Sana kuhusu fisi watu wanasema mnyama huyu anajinsia mbili yaani jinsia ya kike na kiume na wanasema hata mimba wenyewe wanapeana kwa kuliana taiming tu.
Yaani mmoja akizubaa anapandwa na mwisho atazaa pili nasikia wanasema mavi yake yakikurukia tu kama mwilini yanatoka na ngozi ni kama yana asidi hivi.
Naomba mikoa ambayo fisi wanapatikana wengi mtoe ushuhuda Je haya yanayozungumzwa ni ya kweli hapa naizungumzia mikoa kama Tabora, Singida, Shinyanga, na kule ambako mkuu wa mkoa aliwataka wananchi waachie fisi warudi maporini baada ya serikali kuona watu wanakwepa kodi kwa kubuni usafiri wao wa fisi karibuni jamani.
Point Na.1(Nanii = Clitoris) & 2 hapo juu ni kweli. Lakini Fisi ni mnyama mwoga sana. Huwinda kwa kuvizia / kuotea. Hakimbizani -Hafukuzii mawindo yake. Mara nyingi huvizia kama Simba, Chui, Duma n.k amekula akasaza au mnyama amezidiwa ugonjwa au amekufa kabisa ndo Fisi hujipatia mlo. Kwa mantiki hiyo, Point Na. 3 hapo juu inawahusu mbwa mwitu na sio Fisi.Fisi ni noma
1. Fisi jike nanii yake imetokeza (ndefu) kama uume. Lakin nijuavyo Mimi yupo fisi jike Na dume
2. Fisi hula sana mizoga
3. Anapowinda akimkamata mnyama kama swala huanza kumla kabla hata hajamuua. Analiwa hivyo hivyo mpaka ajifie
Ni kweli fisi wote wanajinsia mbili, lakini fisi jike ile penis yake siyo sex organ.Siyo mwandishi mzuri lakini nafikiri tutaelewana fisi ni moja Kati ya wanyama ambao ni wakorofi Sana siyo porini pekee hata wakiingia mtaani Moto lazima uwake.