Darucha
Senior Member
- Dec 28, 2020
- 111
- 211
Siyo mwandishi mzuri lakini nafikiri tutaelewana fisi ni moja Kati ya wanyama ambao ni wakorofi Sana siyo porini pekee hata wakiingia mtaani Moto lazima uwake.
Kuna story ambazo nazikia .mara nyingi Sana kuhusu fisi watu wanasema mnyama huyu anajinsia mbili yaani jinsia ya kike na kiume na wanasema hata mimba wenyewe wanapeana kwa kuliana taiming tu.
Yaani mmoja akizubaa anapandwa na mwisho atazaa pili nasikia wanasema mavi yake yakikurukia tu kama mwilini yanatoka na ngozi ni kama yana asidi hivi.
Naomba mikoa ambayo fisi wanapatikana wengi mtoe ushuhuda Je haya yanayozungumzwa ni ya kweli hapa naizungumzia mikoa kama Tabora, Singida, Shinyanga, na kule ambako mkuu wa mkoa aliwataka wananchi waachie fisi warudi maporini baada ya serikali kuona watu wanakwepa kodi kwa kubuni usafiri wao wa fisi karibuni jamani.