teac kapex
JF-Expert Member
- Jan 23, 2011
- 470
- 137
Nina modem ya vodacom zile za zamani sijui nimeikorofisha wapi mara baada ya kui unstall na kui install Join air, hapo ndomkosa likaanzia. zamani ilikuwa ukiichomeka kwenye computer inajiinstall yenyewe automatic lkn sasa hivi wala haifanyi hivyo tena na hata ile dashboard yake haipo kwa hiyo siwezi kui access tena.
Nifanyeje ili irudie hali yake ya zamani?
Nifanyeje ili irudie hali yake ya zamani?