Ha haaa! Kuna picha ya mkuu wa kaya ikiwa ina circulate kwenye mitandao ya kijamii ikimuonesha akiwa heavily armored...
Na imani kubwa hii picha ni photo shopped but najiuliza mbona mkulu wa kaya alikwenda kuhakiki kabunduki kamoja tu na ka bastola kamoja? Sasa hii midude mingine imetoka wapi jamaniii?