Jamani hivi kuna rapper wa kike kama huyu hapa barani Afrika, amewashinda hadi wanaume?!

MALCOM LUMUMBA

JF-Expert Member
Jul 26, 2012
21,040
64,878
Huyu mwanamke ni Mzambia, lakini moto wake ni wa kuotea mbali. Anaimba kama katokea Marekani aisee, ni mtoto wa miaka 29 tu, lakini uwezo wake siyo wa dunia hii, hadi wanaume amewashinda.

Hii ngoma yake inanifanya niwaze sana.....

Huu hapa yuko na Mama Angelique Kidjo.....
 
Nimemsikiliza mbona wa kawaida Sana au we ni promoter ake mkuu ?
Mkuu, ndiyo unitajie mwanamke anayeweza kuimba hivi. Mimi binafsi siwafahamu na huenda nikawa nimezuzuka tu na kuzipenda hizi nyimbo mbili. Labda, Stella Mwangi, Dama Do Bling, Fifi Cooper, Rosa Ree ??? Hebu nipe shule hapa......
 
Nilikuwa nadhani unamuongelea mtu mwingine Zaid ya sampa the great nilikuwa nishangae

Kuna dude lake linaitwa energy humo amepiga vina Kati mwanzo na mwisho ukichanganya na hiyo beat ni balaa
 
Nilikuwa nadhani unamuongelea mtu mwingine Zaid ya sampa the great nilikuwa nishangae

Kuna dude lake linaitwa energy humo amepiga vina Kati mwanzo na mwisho ukichanganya na hiyo beat ni balaa
Kuna wadau wangu humu wanasema ni wa kawaida..........
 
Huyu mwanamke ni Mzambia, lakini moto wake ni wa kuotea mbali. Anaimba kama katokea Marekani aiseee.......Ni mtoto wa miaka 29 tu, lakini uwezo wake siyo wa dunia hii. Hadi wanaume amewashinda......

Hii ngoma yake inanifanya niwaze sana.....

Huu hapa yuko na Mama Angelique Kidjo.....

Anaimba kawaida sana Kuna mdada anaitwa Shenseea
 
Back
Top Bottom