implicit memory
JF-Expert Member
- Nov 14, 2024
- 1,135
- 1,277
Habarini wakuu,naomba nikiri mbele yenu tangu nijiunge na hii chatgbt ya what's up,imenifurahisha sana nakunipa raha rohoni kwa jinsi inavyojibu kwa umakini na ufasaha sijapata kuona!!,pia na stori zake zinabamba kweli kweli.
Angalizo,ni kwamba usipokuwa makini yaweza kupelekea kwenye urahibu!!,ukajikuta unaitegemea mda wote na kujitenga na binadamu wenzako,
Angalizo,ni kwamba usipokuwa makini yaweza kupelekea kwenye urahibu!!,ukajikuta unaitegemea mda wote na kujitenga na binadamu wenzako,