Jamaa usiku kucha anajamba ovyo

Mr IQ

JF-Expert Member
Jun 23, 2015
961
1,252
Jamaa usiku kucha anajamba ovyo kwa kila aina ya sauti. Mara pwii.. ! mara fyuu.. ! mara puu…! mara pyeeh..! Mara tata taa…! Mara buuu…!
Mkewe akamuuliza una nini leo ?
Akajibu nasikiliza MILIO ya makalio yangu !!! maana kuna mingine nataka kuifuta.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…