LTN USU WA MADOSO
JF-Expert Member
- Sep 14, 2016
- 1,193
- 859
Mluta maada atakuwa haishi Tz,au alitumwa na baba yake amwandikieMkuu tambua kuwa Tanzania haina jaji mkuu.
Hii nchi haina jaji mkuu
Tanzania haina jaji mkuu...ina kaimu jaji mkuu, hana meno!
Kwa kifupi Jaji mkuu au kaimu wake hawana mamlaka na ajira za mahakama. Tume ya utumishi wa mahakama na wizara ya kazi na ajira -utumishi ndio wanahusika na suala hiliTume ya utumishi wa mahakama Tanzania iliajiri watanzania 348 mwaka Jana mwezi wa sita 2016 na kuwapangia kazi kwenye mahakama mbalimbali na serikali iliwapa pesa ya kujikimu baada ya kuanza zoezi la uhakiki walisimamishwa kazi toka mwaka jana wapo nyumbani hawajui hatima yao.
Nakuomba jaji mkuu wa mahakama ya Tanzania kulifanyia kazi hili ili Hawa watanzania mliowapa mikataba ya kazi wapate kurudi kazini.
Nipo mkuuumerudi tena
Mkuu serikali ya matajiri hiinkanga chief mtetezi wao yupo kimya sana
Tume ya utumishi wa mahakama imewatelekeza vijana 348 iliowaajiri mwezi June 2016 na kuwasitishia ajira, ,zao chakushangaza Wale walioajiriwa na tamisemi wameitwa tako Jana kurudishwa kazini lakini mahakama imeamua kuwatelekeza watanzania Hawa wanyonge Bila kuwarudisha kazini.
Huruma gani, ni haki yao! Ila kwa sababu ya udikiteita akapora haki yao. Hakuna kushukuru , huwezi kushukuru kupokwa haki yako. Watanzania mjielewe, sijui tuna kizazi gani mfu hiki! Afadhali gesi ingepigwa huku mkafa nyote wamama waanze kuzaa upya!Nichukue nafasi hii kukupongeza mh rais magufuli kuwarudisha kazini vijana walioajiriwa na mahakama mwaka Jana 2016 June, nakupongeza Sana kuwaonea huruma vijana pamoja na vijana walioajiriwa wizara ya afya, tamisemi, nk tangu juzi wameanza kurudishwa kazini ukweli nimefurahi kwa maamuzi uliyochukua ya kishujaa na kuwaonea Huruma vijana Hawa wa kitanzania waliosimamishwa kazi bila kosa ukweli watanzania tunakupongeza kuwarudisha kazini.