wickerman
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 408
- 248
Wakuu za asubuhi!, Mimi leo nimefanikiwa Ku Jailbreak Ipad yangu yenye iOS 7.0.4, nikaona bora niwajuze nyinyi pia jinsi ya kufanikisha,:
Kwanza kabisa kuwa safe make sure una itunes(latest) kwenye computer yako, fanya backup ya Device yako kuwa safe, nenda kwenye device yako na utoe passcode kama umeweka ili device iwe unlocked during jailbreaking, baada ya hapo download program ya Evasi0n ambayo itatumika ku jailbreak iOS device yako inayo run version 7.0 mpaka 7.0.4,
Kwa ushauri, fanya hii process ukiwa connected kwenye computer na pia kwenye device yako
UkishaDownload, hyo program, make sure unairun kama admin.
itakapo funguka utaona ile button ya Jailbreak iko Greyed out yaani inactive, so now, utaconnect iDevice yako kwenye computer, Kisha itakapo kuwa detected Button itakua active yaani unaweza ukaclick...
Button itakapo kuwa active kilichobaki, ni kuclick button ya JailBreak!, then kaa utulie wakati mambo yanaendelea, kuna wakati itakuambia uende kwenye home screeen ufungue app ya evasi0n ili process ziendelee so utafanya hvyo. Mpaka itakapo maliza kabisa, utaona App ya CYDIA iko installed ikifunguka na ikafanya configurations zake mpaka itakapo maliza, basi utakua ume Jailbreak iDevice yako...
Kujua faida za jailbreaking, click here ( Cc SUPERUSER)
Links:
Download : http://tinyurl.com/wickerbreak
kama itakua ngumu kwako kuelewa hii guide unaweza ukatazama hii video:
Enjoy your iOS freedom!

Last edited by a moderator: