johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 95,470
- 167,286
Huwa nakutana na machapisho ya ex mayor Boniface Jacob kule ukurasani X mara nyingi tu ila Sijawahi kumuona akinukuu Injili ya Yesu Kristo ambayo ndio Ubinadamu wenyewe
Mara zote Boniface Jacob huandika zaidi Habari za Simba na Yanga, kisha Siasa za Chadema
Leo Bonny anawasihi Chadema wamuogope yule awezaye kuuwa Mwili na roho pia
Hata ex DC Lengai Ole Sabaya alimpokea Yesu Kristo akiwa Gerezani
Mungu ni mwema wakati wote 🌹
Sabato njema 😃