Dawa ni rahisi sana,fungua biashara ya hotel itakayokuwa na ubora wa hali ya juu lkn gharama zake ni nafuu kabisa,I guarantee you that you will force them to have two choices; either to walk out of the business or to lower the costs of their services. Tanzania hatuna wafanyabiashara wanaotafuta na kuzichangamkia fursa kama hizi isipokuwa tuna wafanyabiashara walafi wa utajiri wa haraka kwa gharama zozote zile!