ITV na kipindi cha JIJI LETU

N'yadikwa

JF-Expert Member
Aug 10, 2014
7,121
10,231
Hiki kipindi kwanini kipo biased kinaangazia jiji la Dar pekee wakati majiji sio Dar pekee,jirekebisheni hata sie huku majiji mengine tuna hizo news
 
Hiki kipindi kwanini kipo biased kinaangazia jiji la Dar pekee wakati majiji sio Dar pekee,jirekebisheni hata sie huku majiji mengine tuna hizo news

Wamekiweka purposely kwa ajili ya kuangazia kwa undani jiji la Dar es salaam kutokana na mahali kituo kilipo.Hata star tv au kituo kingine wanaweza buni kipindi kikaangazia kwa undani mahali vilipo..So wapo correct kabisa.
 
Kama ni hivyo basi wapo sahihi, !kwa hiyo huku Tanga sijui Arusha ,Mwanza na Mbeya kote ni mkoa au sio
Unawezaje kusema Tanga ni Jiji kwa mfano? Kama Tanga ni Jiji basi Dar itafutiwe jina lake.

Kusema ilala ni Manispaa afu Tanga ni Jiji, hili ni tusi la wazi kwa Ilala.
 
Wamekiweka purposely kwa ajili ya kuangazia kwa undani jiji la Dar es salaam kutokana na mahali kituo kilipo.Hata star tv au kituo kingine wanaweza buni kipindi kikaangazia kwa undani mahali vilipo..So wapo correct kabisa.
Hahaa ila hiyo ni bias kwa sababu audience yao sio Dar tu
 
Wameangalia biashara tu maana Dar inazidi majiji mengine kwa Taa na magorofa tu labda mwendokasi ila vingine sawa tu mfano Uchafu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…