ITV kuendelea kuwa super brand ni jibu sahii kwa madhaifu ya TBC

Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
122,490
96,054
Imekuwa ni mfululizo wa kupata tuzo ya super Brand kwa Afrika ya mashariki.

Itv imeonyesha kuwa ipo kwa ajili ya kutoa habari za uhakika kuliko kuegemea upande wa kulinda maslahi ya watawala.

Sijawahi kuisikia Tbc ikipatiwa tuzo hii hata mwaka mmoja.

Nashauri mkurugenzi wa tbc awachie ngazi maana kashindwa kusimamia wajibu wake.

Hongereni sana itv kwa kuwa chaguo la mamilioni ya watanzania upande wa habari.
 
Back
Top Bottom