ITV inaunga mkono Hamas, Star TV inaunga mkono Israel na Marekani

Bora hata ITV star tv imebezi sana propaganda kama za BBC kwa chama tawala CCM
 
Bila kificho, ITV inashiriki Propaganda za Hamas. Wanasiasa wanaoalikwa kuzungumzia siasa za kimataifa mara nyingi ni wale wenye mrengo wa Hamas.

Vilevile Star TV inaunga mkono Israel na Marekani bila kificho.

Fuatilia utagundua hilo
Kumtolea uvivu Israel ni wajibu uliotukuka
 
Sawa mtoa hoja,ila elewa kuwa hao ni wafanya biashara binafsi, wana malengo yao na wanajua soko lao ,usiwalazimishe ni makosa,TBC ndio ya kwetu hawa tunaweza kuwapigia kelele, kuna tofauti kubwa kati ya CNN na FOX TV kuhusiana na president Trump na maisha yanaendelea, silaha tuliyo nayo ni remote control,tumia hiyo kwenye TV yako au radio yako, binafsi wasafi TV na mimi ni tofauti kabisa, nasikiliza Bongo radio..zilipendwa!!
 
Atakuwa mfia dini huyo mwenye kuamini Gaza kuna vita vyao huko
 
Unakuta jitu halija lipo Kodi ya nyumba ada lakini Kila siku HAMAS, ISRAEL, mara US, Palestine kitu watu wengi hawajui ni kwamba vita ni utamaduni ktk hilo eneo kama brazili na soka na Wana maisha mazuri ambayo hatuwezi yafikia labda niulize swali pamoja na migogoro ya miaka dahar au hata sasa hivi wakati huu wa vita nani kasikia kwamba kule Kuna kipindu pindu au malaria?
 
Back
Top Bottom