Wanawake wanaweza hatimaye tumevunja mwiko wa tangu uhuru NMB Jamii Bond yaanza kuuzwa London stock Exchange , UK

Financial Intelligence

Senior Member
Sep 29, 2023
160
360
IMG-20240519-WA0016.jpg

IMG-20240519-WA0015.jpg
Chini ya mwana mama shupavu na CEO wa NMB PLC Mrs. Ruth Zaipuna sasa kwa mara ya kwanza tangu uhuru hatifungani ya NMB Jamii Yaanza Kuuzwa Soko la Hisa London.

Benki ya NMB imetanua wigo wa kushiriki katika masoko ya mitaji kimataifa kwa kuiorodhesha Hatifungani ya NMB Jamii (NMB Jamii Bond) katika Soko la Hisa la London (LSE).

Hatua hiyo inaifanya Benki ya NMB kuwa taasisi ya kwanza Tanzania kuwa na hatifungani katika soko hilo na Benki ya Kwanza Afrika Mashariki, Kati na Kusini kuorodhesha Hatifungani ya Uendelevu LSE.

Hati Fungani ya NMB Jamii inalenga kuchochea uwekezaji katika miradi yenye tija kijamii na kimazingira, na toleo la Dola za Kimarekani Milioni 73 ndio limeorodheshwa kwa wawekezaji wa LSE.

Kuorodheshwa kwa mara ya pili kwa NMB Jamii Bond katika masoko ya hisa ya kimataifa kunafuatia kuidhinishwa kwake mwezi jana kuuzwa katika Soko la Hisa la Luxembourg ambako pia hatifungani ya NMB Jasiri imekuwa ikifanya vizuri tangu iorodheshwe kwenye soko hilo mwaka 2023.

Uzinduzi wa mauzo ya Hatifungani ya Jamii ulifanyika wakati wa ufunguzi wa shughuli za wiki hii za LSE, na kuhudhuriwa na Balozi wa Tanzania nchini Uingereza, Mbelwa Kairuki; Afisa Mtendaji Mkuu wa NMB, Bi. Ruth Zaipuna; Mhazini wa NMB, Aziz Chacha; Afisa Mtendaji Mkuu wa LSE, Julia Hoggetts na viongozi wengine waandamizi kutoka Serikali ya Uingereza na taasisi mbalimbali.

“Tulianza kwa kuiorodhesha hatifungani hii katika Soko la Hisa la Dar es Salaam mwaka jana, Soko la Luxembourg mwezi uliopita, na leo tunaiorodhesha hapa LSE ili kuwapa wawekezaji wanaozingatia uendelevu, fursa ya kuchangia mabadiliko huku wakipata faida nzuri ya uwekezaji wao,” Bi Zaipuna alieleza.

Bi Zaipuna alisema masoko ya kimataifa yanaiwezesha benki hiyo kuwa na wigo mpana wa kupata fedha kwa ajili ya kufadhili miradi inayosaidia kuboresha maisha, kubadilisha jamii na kuwa na mustakabali bora kwa watu wote.

“Mafanikio haya kipekee yanadhihirisha imani waliyokuwa nayo wawekezaji wa Kitanzania na Kimataifa katika uthabiti wa Benki ya NMB na dhamira yake ya uendelevu katika utendaji wake, biashara, jamii na masuala ya mazingira,” Bi Zaipuna alisema.
IMG-20240521-WA0269.jpg

#Viva Samia Viva , Viva Zaipuna Viva
 
View attachment 2993577
View attachment 2993578
Chini ya mwana mama shupavu na CEO wa NMB PLC Mrs. Ruth Zaipuna sasa kwa mara ya kwanza tangu uhuru hatifungani ya NMB Jamii Yaanza Kuuzwa Soko la Hisa London.

Benki ya NMB imetanua wigo wa kushiriki katika masoko ya mitaji kimataifa kwa kuiorodhesha Hatifungani ya NMB Jamii (NMB Jamii Bond) katika Soko la Hisa la London (LSE)

Hatua hiyo inaifanya Benki ya NMB kuwa taasisi ya kwanza Tanzania kuwa na hatifungani katika soko hilo na Benki ya Kwanza Afrika Mashariki, Kati na Kusini kuorodhesha Hatifungani ya Uendelevu LSE.

Hati Fungani ya NMB Jamii inalenga kuchochea uwekezaji katika miradi yenye tija kijamii na kimazingira, na toleo la Dola za Kimarekani Milioni 73 ndio limeorodheshwa kwa wawekezaji wa LSE.

Kuorodheshwa kwa mara ya pili kwa NMB Jamii Bond katika masoko ya hisa ya kimataifa kunafuatia kuidhinishwa kwake mwezi jana kuuzwa katika Soko la Hisa la Luxembourg ambako pia hatifungani ya NMB Jasiri imekuwa ikifanya vizuri tangu iorodheshwe kwenye soko hilo mwaka jana.

Faida zake ni zipi hapo maana naona mshadadio kama wote
 
Huyu Zaipuna ni mtu wa wapi hapa Tanzania?
Je, ameishi nchi gani huko Duniani?
 
Huwa nakoshwa sana na viongozi wanawake wanaofanya kazi kwa weledi, ni alama kwetu wanawake na watoto wetu wa kike katika dunia hii iliyojaa mfumo dume.

Hongera Zaipuna.
 
Back
Top Bottom