Itel watoa simu mpya yenye 4G inayokaa sana na chaji, (5000mAh)

Kibishi

JF-Expert Member
Nov 17, 2013
1,139
1,030
Tangu kasi ya 4G ianzishwe, hakuna brand hata moja ya kiafrika iliyotoa simu ya 4G yenye betri kuanzia 5000mAh, kwa mara ya kwanza, Itel Mobile imeweka historia hiyo kwa kutangaza simu ya 4G yenye betri la 5000mAh, simu hiyo ni Itel P41 a.k.a Itel PowerPro P41.
Kwa sababu ya bei yake ndogo ya 190,000/= mpaka 210,000/=, threads za "MSAADA, SIMU YA BEI RAHISI YENYE 4G" zitapungua.
Sifa za Itel P41.
Screen Size: 5.00 inch
Resolution: 480x854
OS: Android 7 (Nougat)
Processor: 1.3GHz quad core
Memory: 1GB RAM, 8GB ROM
Camera: Primary 5MP, secondary 2MP
Network: 2G,3G,4G.
Battery: 5000mAh
Hamna kusumbuka tena kutafuta simu yenye 4G inayokaa sana na chaji, mpango mzima ni Itel P41.
 
Tangu kasi ya 4G ianzishwe, hakuna brand hata moja ya kiafrika iliyotoa simu ya 4G yenye betri kuanzia 5000mAh, kwa mara ya kwanza, Itel Mobile imeweka historia hiyo kwa kutangaza simu ya 4G yenye betri la 5000mAh, simu hiyo ni Itel P41 a.k.a Itel PowerPro P41.
Kwa sababu ya bei yake ndogo ya 190,000/= mpaka 210,000/=, threads za "MSAADA, SIMU YA BEI RAHISI YENYE 4G" zitapungua.
Sifa za Itel P41.
Screen Size: 5.00 inch
Resolution: 480x854
OS: Android 7 (Nougat)
Processor: 1.3GHz quad core
Memory: 1GB RAM, 8GB ROM
Camera: Primary 5MP, secondary 2MP Network: 2G,3G,4G.
Battery: 5000mAh
Hamna kusumbuka tena kutafuta simu yenye 4G inayokaa sana na chaji, mpango mzima ni Itel P41.
chipset sijaona mkuu
 
kichwa cha topic kinajieleza,ni mzuri najijua though si wa kutisha,nina kishuzi ila kimezidiwa na tuhips kidogo,am dark skin,sio mrefu ila nmempita urefu lulu michael kidogo. Shida ni nini? yes am overconfident,ila sidhani hiyo ni sababu. Am smart kichwan hadi mwilini. Shida ni nini? Au ninavosali kumpata mume atakaempendeza bwana kuna sehemu nakosea??? Nakubali me ni antisocial. ila sidhani hiyo ni sababu. Yes i was selective ila zamani sana kama 2 years back,now nimeacha. And am just 23,whats wrong with me????
Nikaoge baharini au?
Em nifarijini guys,hata mkinitusi poa me sinaga noma.
Ni pm nitakutongoza usijali
mah haimaanishi battery life ni kubwa,

simu ambayo soc yake imetengenezwa kwa 14nm hata ikiwa na 3000mah inaipita hio simu.
Kwa hiyo mkuu hiyo simu itakuwa ni nzuri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
katika simu ambazo sitakuja kununua ni ITEL NA TECNO
Hizi simu ni zaidi ya majanga.
Mkuu kwa itel labda...ila mimi nimetumia tenco y series na W series siku jutia...raha ya tecno subiri mwezi wa 5 kisha nunua simu mpya iliyotoka...tecno kila mwezi wa 5 wanatoa toleo jipya la simu...ndugu yangu huto jutia
 
Back
Top Bottom