Itel S31 ni 3G network lakini ni 3G yenye MTK platform kwaajili ya speed zaidi, sio ya kawaida, pia processor yake ni Quad-core, 1.3GHz, 4x Cortex‐A7 na ni android 6.0 Marshmallow na Ukubwa wa Betri yake ni 2400mAh na bei ya simu hii ni kati ya 165,000/= na 175,000/=