AMBASSADOR-M
Senior Member
- Jun 17, 2016
- 170
- 83
Wasalaam nyoote,
Napenda kuchukua nafasi hii kumshukuru Mungu kutupa hai mpaka leo hii bila kujali wema au ubaya wetu.
Dunia imebadilika sana na hakika mwendokasi unachukua mkondo wake katika karne hii ya 21. Mahusiano ni moja ya nyanja inayozidi kuwa gumzo na very sophisticated aiseee. Baada ya kufanya trial and errors za mitaani na kwingineko, imekuwa mtihani kupata mwanamke mwenye career ya ndoa. Napenda nitumie njia hii, kwa kuamini sampo za JF kama zinaweza test hypothesis yangu. Dhamira kuu nikumpata mwanamke rafiki atakaekuwa mpenzi kisha mchumba na soon tuanze kuishi pamoja kama mwili mmoja. Waingereza wanasema “IT’S NOT JUST WHERE AND HOW THE COUPLE MET BUT THE END JUSTIFIES THE MEANS”. Kama ambavyo Mungu unaweza kumpata popote na mume au mke utampata popote. And this is bcoz THERE’S A ZERO RELATIONSHIP BTN WHERE YOU MEET AND WHAT IT MEANT TO BE A BEST COUPLE.
UKWELI KUHUSU MIMI (SIFA):
u Ni kijana wa kiume, miaka 29, kimo cha wastani (siyo mfupi wala siyo mrefu), rangi ya maji ya kunde, umbo la wastani (siyo mnene wala siyo mwembamba), smart kwa mwonekano.
u Elimu- nina shahada/degree na ninafanya kazi halali inayonijenga katika ndoto zangu
u Ninaishi KANDA YA ZIWA, nategemea kuishi huku zaidi
u Ninatoka katika familia ya kawaida, naishi kawaida ila nina ndoto kubwa kimaisha, nazitafuta!
u Mengine zaidi utanijua badae (take this as an advance)
WASIFU WANGU WA NDANI (TABIA):
l Mpole, mcheshi, utani kiasi, mkarimu, peace maker, mentor wa mahusiano, influential na inspirational kwa watu, mwenye maono kimaisha, Bidii na kazi, Mnyenyekevu na mwenye Imani, busara na hekima, mcha Mungu na siyo mcha dini (Mkristo huru), mwaminifu hasa kwa nimpendae na Mvumilivu, NINAPENDA kwa dhati,mwelewa wa maswala na mwepesi wa kupuuzia/kusamehe!!!!!
SIFA ZA RAFIKI NINAEMTAKA:
u Wa kike, miaka walau 23-27, kimo wastani, mweusi au maji ya kunde, umbo zuri la wastani (siyo sanaaaa)-asiwe mwembamba sana wala mnene, ana mvuto wa siri na asili.
u Elimu-Walau kamaliza form4 (lakini awe ana mishe, kazi au cheti anuwai au la awe na akili ya maisha-maono ya kibiashara na kufanikiwa, asiwe wa spoon feeding), au diploma/stashahada au degree/shahada katika fani ya ualimu na nyinginezo- Kikubwa elimu ya mtaani siyo ya darasani!!!
u Aishi KANDA YA ZIWA, hususani Mwanza, Shinyanga au Geita na ategemee kuishi huku pia
u Atoke familia yoyote, hususani ya kawaida; ajikubali na siyo kuigiza maisha ya wengine- fake life
u Mengine zaidi nitayajua badae (SIYO LAZIMA UWE NAZO ZOTE, BINADAM HATUJAKAMILIKA)
TABIA ZA HUYU RAFIKI WA KIKE:
l Mpole, mcheshi, utani kiasi, mkarimu, mpenda amani, mnyeyekevu, mwaminifu kwa ampendae, mpatanishi, mcha Mungu siyo dini (awe mkristo), kabila lolote, busara na hekima kiasi, bidii na kazi, kujali na kuthamini, muwajibikaji, mvumilivu, mwepesi kuelewa/kusamehe na kubadilika, mwenye kuridhika kwa kutokuridhika, mkweli na MTIIFU. (SIYO LAZIMA UWE NAZO ZOTE, BINADAM HATUJAKAMILIKA)
AHADI ZANGU KWAKE:
ü Kumpenda, kumheshimu, kuwajibika kwake na kumwongoza, kumjenga kama mke bora mtarajiwa, kumpa muda wake anaostahili (attention), kujifunza mazuri toka kwake, kuwa rafiki wake #1, kumwamini, kumfunza namna ya kukabili nyakati ngumu na kumpa furaha tuwapo wote.
ü Tutaanza kuwa Marafiki-wapenzi-Wachumba na kisha kuoana ndani ya mwaka mmoja na nusu tukiafikiana!!
NOTE: MWANAMKE ANAEHITAJI AU ANAKIDHI WALAU 70% YA YALOSEMWA HAPO JUU KARIBU PM au INBOX, usijaribu kama haujimini, haupo tayari au la bado unahitaji kustareheka, subiri vijana wa clubs watakuja!
ASANTENI SANA, KARIBUNI WALENGWA TUU. Siku njema wakuu.…………………….!!!!!!!!!!!!!!!!!>>>>>