Ni nature ya makabila ya huko we kaa na wajaluo ndio utajua kwanini huko wakenya walivyo..Miaka yote nimekuwa nikiwafuatilia hawa majirani zetu na sikuwahi kuona with clean heart.
Jamaa wamekaa sana Chuki mioyoni na Unafiki.
Sio kweli wasanii wanaongoza kwa kusilizwa na kutazamwa Kenya wa Kwanza amechukua Diamond wapili Harmonize kiba Ni wa Saba Kama sikoseiKenya 95% ni team alikiba...angekua kiba Wala hayo yasingetokea....wanamchukia sana diamond