Israel yazidi kunywea Gaza, yasema vita vimebadilika

Webabu

JF-Expert Member
Apr 29, 2010
8,626
13,847
Miezi mitatu mbele tangu shambuliao la kihistoria la Hamas hapo oktoba 7 mwaka 2023, kwa mara ya mwanzo Israel imekiri kwamba vita vimebadilika.

Msemaji wa jeshi la Israel katika mhojiaano na gazeti la New York times amedhihirisha hali hiyo ya mshangao.
Msemaji wa Jeshi la Israel, Daniel Hagari amesema wanajeshi zaidi wataaondolewa kutoka Gaza kurudishwa nyumbani na kwamba kwa sasa mashambulio yatafanyika zaidi maeneo ya kusini na kati ya Gaza na yatafanyika kwa kiwango cha chini katika matumizi ya ndege.

Tangazo hilo la Israel linakuja katika muda ambapo kuna uwezekano mkubwa wa kutokea vita vikali zaidi upande wake wa kaskazini baina yake na Hizbullah na huku ikitajwa kuwa hali ya uchumi wa Israel ni mbaya sana. Vile vile tangazo hilo limekuja wakati nchi marafiki wa Israel nazo zina hali ngumu ya kiuchumi na hatari ya kutokea kwa machafuko ya kisiasa.kutokana na kuunga kwao mkono vita vya Gaza.

Hofu nyengine ambayo imekuwa ikitajwa na nchi zinazoiunga mkono Israel ni uwezekano wa kusambaa kwa vita hivyo miongoni mwa nchi jirani za mashariki ya kati.Hata hivyo kitisho hiki hakijaonekana kuwa na athari sana kutokana na misimamo ya watawala wa nchi hizo.

===========

Israel says it is scaling down Gaza war​


Israel Soldiers 1.jpg

Israeli soldiers secure a tunnel reportedly used by Hamas on October 7 - Noam Galai/Getty Images

Israel says it has begun a new, less intense phase of the war, admitting publicly for the first time that the conflict has “shifted”.

The next step will involve fewer airstrikes and troops, and operations would now focus on central and southern Gaza, an IDF spokesman said.

Rear-Adml Daniel Hagari said: “The war shifted a stage.”

“But the transition will be with no ceremony...it’s not about dramatic announcements.”

His comments to the New York Times follow weeks of international pressure over the number of civilian deaths in Gaza. Last week, Israel sent some reservists home and moved to reinforce its northern border with Lebanon.

Anthony Blinken, the US Secretary of State, is due to arrive in Israel for talks amid fears that the conflict could spread to the wider region.

On Sunday, Mr Blinken said Palestinians displaced by the now four-month-old war must be allowed to “return home”, while warning that the violence could “easily metastasize” into a regional conflict.

Chanzo: The Telegraph
 
Natazama BBC, Al Jazeera, CNN, and many other International news channels, the opposite is the case to what you are addressing here.
 
Tangu mwanzo tulikuwa tunawashuhudisha ili hiki kinachotokea leo wasishangae.
Allah huwazunguka maadui zake kwa namna anayopenda ambayo binadamu hawaioni.
Wamepata mshutuko mkubwa hawakutegemea kama watakutana na msiba Gaza maana walijiaminisha wana kila kitu, wakapanga mipango yako kwa majigambo kuwa Hamas wachague vitu viwlli kufa au kujisalimisha.

Kinyume chake wao ndiyo wamechagua vyote wanajeshi wao wanakufa na wamekimbia Gaza wameamia kushambulia majengo na kuuwa watoto na wanawake.

Angalia hii video camera zimewanasa wanajificha baada ya kusikia Hamas wanakuja.


View: https://x.com/stairwayto3dom/status/1743660282562396474?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
Lazima waseme hivo Ili waendelee kujustfy kuendelea na vita. Lengo la ni Hadi vinyesi walivotoa HAMAS navyo viondolewe Gaza
 
Marekani alipowakimbia Taliban mlisema hivyo hivyo
Marekani hakukimbia Taliban Bali alikabidhi Taliban waendelee.kuichakaza nchi.Kama alivyofanya Somalia

Viongozi wa Kuu wa Taleban wamesoma Marekani
 
Back
Top Bottom