Israel yaumbuliwa kwa kupandikiza silaha zake ndani ya hospital ya Shifah na kuhadaa Ulimwengu- kua ni zaHAMAS na makao makuu ya HAMAS!

kipumbwi

JF-Expert Member
Feb 3, 2015
3,138
8,999
20231117_092555.jpg
Israel iimefanya mauaji ya watoto, wanawake na raia wasio na hatia kwa kuipiga mabomu hospital kuu Gaza kwa kisingizio kua ni chini kuna makao makuu ya HAMAS,wamefichwa mateka na ni hifadhi ya silaha za HAMAS.

Tazama uongo wa Israel ambayo yenyewe binafsi imepandikiza silaha na kutengeneza videos za maigizo.

Unaweza kutazama zaidi video ya taarifa kamili ambayo inafichua uongo wa Israel ikiripotiwa kutoka Beirut na mwandishi wa kimataifa kutoka London Shaykh Suleyman.

View: https://twitter.com/ShaykhSulaiman/status/1725161292518896042?t=GxwXWySvOwbTsHB0VuhrIA&s=19
 
View attachment 2816265Israel iimefanya mauaji ya watoto, wanawake na raia wasio na hatia kwa kuipiga mabomu hospital kuu Gaza kwa kisingizio kua ni chini kuna makao makuu ya HAMAS,wamefichwa mateka na ni hifadhi ya silaha za HAMAS.

Tazama uongo wa Israel ambayo yenyewe binafsi imepandikiza silaha na kutengeneza videos za maigizo.
View attachment 2816252

Taarifa hii inachangia usitishwaji wa vita au nawe ni kamanda kwenye hii vita?
 
Mta

Mtanzania kama hiyo taarifa amekupatia Hamas, jua ni Uongo kwa Magaidi hao wanamtumikia Mungu wa Uongo Shetani (Yohana 8:44). Zaidi ya hapo Quran ktk Sahih Al-Bukhari 4950 Shangazi wa Mtume Mohammad alimmwambia Mtume Mohammad SHETANI WAKO AMEKUACHA KWANI SIJAMUONA AKIWA NA WEWE KWA SIKU TATU. CHA AJABU ALLAH KTK KUJIBU SWALI HILO WALA HAKUKANUSHA KUWA YEYE SIYO SHETANI, Badala yake amwambia Mohammad Mimi sijakuacha
Screenshot_20231116-174917.png
 
Taarifa hii inachangia usitishwaji wa vita au nawe ni kamanda kwenye hii vita?
Binafsi nimeishea ili wasiojua uongo wa kuhalalisha upigaji mabomu hospital na mauaji wajue ukweli,je wewe komenti yako imechangia nini kwenye jamii na platform hii?!!
 
Binafsi nimeishea ili wasiojua uongo wa kuhalalisha upigaji mabomu hospital na mauaji wajue ukweli,je wewe komenti yako imechangia nini kwenye jamii na platform hii?!!
Nimeonesha werevu wangu
 
M
Mkuu Hawa jamaa, hata mm sishangai umbumbumbu wao. Lakini naweza sema tumepata msumari wa mwisho, ambapo hamna ubishi wanamtumikia SHETANI. Kama Allah siyo Shetani basi angemkanusha Shangazi wa Mtume Mohammad
View attachment 2816281
Exactly, na shetani siku zote kuchinja, kuua na kuangamiza ndio kazi zake kuu huku akiwapa ahadi fake za mabikra 72
 
Back
Top Bottom