Waziri Mkuu wa Israel Netanyahu akana Israel kuangusha Helicopter iliyomuua Raisi wa Iran asema kama ingetaka kulipiza kisasi Kwa Iran Kwa shambulio waliloishambulia Israel Kwa kuwarushia makombora isingelipa kisasi kwa kiwango kidogo kama hicho Cha kutungua Helicopter iliyobeba Raisi wa Iran