mwakani naolewa
Senior Member
- Jul 25, 2024
- 148
- 425
Jeshi la ulinzi la israel limefanya shambulio la angani lililolenga Kamanda wa Hezbollah mjini beirut kufuatia shambulio lililosababisha vifo vya watoto wengi katika eneo la Golan heights eneo linalokaliwa na israel ambapo Hesbollah wamekanusha kufanya shambulio hilo.
kupitia ukurasa wao wa X jeshi la ulinzi la Israel IDF wameandika kua IDF imefanya shambulio linalolenga kamanda wa Hezbollah kwa kufanya shambulio lililo sababisha vifo vya watu 12 ikiwa ni watoto na vijana katika Majidal Shamsi.
Aisha, baraza la ulinzi la Izrael lilimpa waziri mkuu Benjamin Natanyahu mamlaka ya kuamua ni lini na vipi Israel itajibu mashambulizi na Tayari wa ulizi amesema kua israel itajibu kwa Mapigo makubwa . Lakini pia Iran imetoa onyo kwa Israel kua ikithubutu kushambulia lebanon madhara yatakua ni makubwa, Na tayari mashambulio yameanza.