Israel yaichakaza miundombinu ya magaidi wa Houthi na kumjeruhi mkuu wa WHO

ILAN RAMON

JF-Expert Member
Sep 10, 2013
9,619
4,406
Mkuu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Tedros Adhanom akiwa na wafanyakazi wengine wamenusurika kuuawa katika shambulio la anga, linalodaiwa kufanywa na ndege za kivita za Israel kwenye uwanja wa ndege wa Yemen, ambalo limesababisha vifo vya watu watatu na wengine kujeruhiwa.

Mhariri | @abuuyusuftz

#UTV108 #AzamTV #AdhuhuriLive
 
Mwabeshi alifuata nini huko Yemen? kila anayeishi middle east ni kwa hisani ya myahudi. Myahudi akiamua kumuondoa yeyote ni kama kutema mate.
We jamaas uyo mchungaji wako kafanikiwa kukuvuta kama mbuzi asiejua snapelekwa wapi!!!! Ila kipigo uko Telaviv ali ni mbaya nyie tulizani muda huu mmekusanyika kulia kumbe mnapeana moyo apa poleni wabantu wezangu!
 
Kwanza jifunze kuandika kwa ufasaha. Pili mchungaji wangu ni Yesu anayeniongoza kwenye njia ya uzima. Kama Tel Avivu ilihimil balistics 200 za wahuni pasipo kupoteza hata mtu mmoja ni kitu gani kitakachoiangamiza?
 
Tudanganye 1967 kilitokea nini!?

Vita vya Siku 6​

Vita vya Siku Sita, pia vinajulikana kama Vita vya Juni, 1967 kati ya nchi za Kiarabu na Israeli, au Vita ya Tatu vya Waarabu na Israeli, vilipiganwa kati ya 5 na 10 Juni 1967 kati ya Israeli na Jordan, Syria, na Misri. Uhusiano kati ya Israeli na majirani zake haukuwekwa sawa baada ya Vita vya Kiarabu na Israeli vya 1948.
Israeli ilijengwa na muundo wake kuelekezwa na vita . Kila mzozo wa mapigano , makubwa na madogo, uliacha alama yake.
Lakini ni vita vifupi zaidi, vya Siku Sita vya Juni 1967, ambavyo vinaonekana kusikika zaidi kuliko vingine vyote.
 
Waarabu wote kwa ujumla wao walipigwa na baadhi ya ardhi zao kutekwa. Kama angekuwa na tamaa ya kumiliki au kuongeza ardhi asingewarudishia. Sio suala la kudanganya, unatikisa kibiriti?
Kama hujui kitu nyamaza tu.
Vita ya six days war ilihusisha Israel kulipua Egypt airbase ya Sinai peninsula na kuiteka Sinai yote baada ya kulipua airbase ya Egypt.
Vita ikaamia Gollan heights kwa Syria ambako Israel alifanya shambulizi la anga zito na kuiteka Gollan heights.
Kipindi Israel inajiandaa kizidisha mashambulizi hadi Central Syria rais wa USA Lyndon Johnson aliwazuia Israel wasiendelee na mashambulizi.
Israel ndio ikaweka buffer zone Gollan heights na hawajairudisha hadi sasa.
Sinai wamekuja kuirudisha baada ya vita ya Yomkippur war baada ya Egypt kuwapora 70% ya ardhi 30% iliyobaki ikaja kurejeshwa kwa mkataba wa Camp david.

Waarabu gani wote unaowasemea wewe walipigana na Israel!?
Egypt na Syria ndio waarabu wote!??
 
Vita vya Siku 6​

Vita vya Siku Sita, pia vinajulikana kama Vita vya Juni, 1967 kati ya nchi za Kiarabu na Israeli, au Vita ya Tatu vya Waarabu na Israeli, vilipiganwa kati ya 5 na 10 Juni 1967 kati ya Israeli na Jordan, Syria, na Misri. Uhusiano kati ya Israeli na majirani zake haukuwekwa sawa baada ya Vita vya Kiarabu na Israeli vya 1948.
Israeli ilijengwa na muundo wake kuelekezwa na vita . Kila mzozo wa mapigano , makubwa na madogo, uliacha alama yake.
Lakini ni vita vifupi zaidi, vya Siku Sita vya Juni 1967, ambavyo vinaonekana kusikika zaidi kuliko vingine vyote.
Una C&P inaonekana hata huijui hii vita vizuri.
Jordan hakupigana vita ya siku sita bali alihusika na mapigano ya nyuma ya tangu 1955 kuja 1967 yaliyochangia vita ya siku sita.
Rudi kasome tena ulipo C&P.
 
Back
Top Bottom