DesertStorm
JF-Expert Member
- Nov 22, 2015
- 3,005
- 2,409
ISIS pale mpakani wanapambana na jeshi la syria ,ila hao ISIS wakiumia wanatibiwa ng'ambo ya pili yaani israel,huo mpaka uko hapo golan.Uharamu wa Utawala wa Israel ni upi? Hiyo mada yako iko biased kinyume na Israel hivyo haina credibility. Suala la Israel kutibu majeruhi toka Syria sio la kificho na liko wazi. Unaposema wanaotibiwa ni IS na Nusra ulete na ushahidi sio kunukuu ripoti hewa. Weka na ripoti tusome. Israel policy ktk vita ya Syria mpaka sasa ni kuwa neutral
Uharamu wa utawala wa Israel ni upi?Hiyo mada yako iko biased kinyume na Israel hivyo haina credibility. Suala la Israel kutibu majeruhi toka Syria sio la kificho na liko wazi. Unaposema wanaotibiwa ni IS na Nusra ulete na ushahidi sio kunukuu ripoti hewa. Weka na ripoti tusome. Israel policy ktk vita ya Syria mpaka sasa ni kuwa neutral
Hata Bible inasema siku ya mwisho shetani ataongoza chuki na uongo dhidi ya Israel
Inasemekana? Na nani?ISIS pale mpakani wanapambana na jeshi la syria ,ila hao ISIS wakiumia wanatibiwa ng'ambo ya pili yaani israel,huo mpaka uko hapo golan.
Hata al Baggy daddy inasemekana alitibia huko baada ya askari wa iraq kumlipua
Hata wewe huna ushahidi wowote kwamba israel inahusika moja kwa moja zaidi ya kusema "Inasemekana"...Wewe upo dunia ipi inamaana hujui kinachoendelea kule palestine?kila leo wananyang'anywa ardhi na kuteswa? Acha kujitoa ufahamu wakati unajua!
Kuhusu (distrust) tuletee hiyo unayoiamini wewe coz sijaitunga mimi, na hiyo media usifikiri cnn au bbc habari zao za kizushi
kaa utafakari kwa umakini jeshi la ISRAEL kweli litatoa siri zake about (ISIS) wanaoichafua dunia? sana sana atajionyesha kutowaunga mkono! hebu tafakari kidogo maana hata mtoto mdogo anakuzidi akili!
Soma kilichoandikwa hapo juu..Ushahidi upi sasa unataka? wakati kila kitu kinajionyesha hapo? Tatizo lenu western media zimewavuruga akili, mnakuwa kama mang'ombe mna pelekwa-pelekwa tu,chochote kinachosemwa na mataifa ya nje mnaamini.
In-short hujui tunachokijadili hapa..naona umeamua kuparamia usichokijua! so kwa kukusaidia tu. kama wewe.... KE au ME ....anzisha mada yako inayozungumzia huo utumbo wako uloniletea kisha wasiojitambua kama wewe watakuja kukujibu kutokana na swali lako la kipuuziDesertStorm Nadhani mada ya Palestine imeshajadiliwa sana na ushahidi uko humu JF. Tafuta utauona. Ila nikupe changamoto tu, Naomba unitajie Taifa au dola ya kiarabu iliyoitwa Palestina, na kiongozi wake mashuhuri au founder, lugha yake na fedha waliyotumia. Ukiipata uje tujadiliane uwepo wa taifa la "Wapalestina".
Haya mambo ya kitaalam na kihistoria hayaendeshiw na mihemko na imani zisizo a ushahidi!
Embu acha upuuz wwHata Bible inasema siku ya mwisho shetani ataongoza chuki na uongo dhidi ya Israel
we nawe unaanza hadithi tena.Hamna kitu hapo, israel wajanja sana! Wanawawekea CHIP hao watu kutengeneza "universal soldiers" wa ile muvi ya Van Damme.