Islamic scholar maarufu duniani Sheikh Assim Al-Hakeem amekataza waislam kusoma Logic (mantiki) and philosophy sababu zinasababisha wauache uislamu

MELEKAHE

JF-Expert Member
Nov 19, 2023
1,701
6,621
video inaonesha Islamic scholar ( mwanazuoni )mkubwa akikataza waislamu kujifunza logic and philosophy maana wakizijua wanauacha uislamu.

shehe anasema uislamu hauna mantiki, tazama video mwenyewe

shehe huyu ndie Imam wa msikiti mkuu Jeddah kwa zaidi ya miaka 20

View attachment 3311120
Yuko sahihi kabisa. Maana, ukitumia logic, hutakuwa muumini wala mtumwa wa hizi dini nyemelezi za kigeni.
 
video inaonesha Islamic scholar ( mwanazuoni )mkubwa akikataza waislamu kujifunza logic and philosophy maana wakizijua wanauacha uislamu.

shehe anasema uislamu hauna mantiki, tazama video mwenyewe

shehe huyu ndie Imam wa msikiti mkuu Jeddah kwa zaidi ya miaka 20

View attachment 3311120

Cc MK254
IMG_20250405_022204_957.jpg
 
Kila siku waislamu wauacha uslamu mamia kwa maelfu wamegundua uislamu ni dini ya hovyo.

Ndio mana uislamu unatumia nguvu nyingi ili uendelee kusalia ingawa ni too late.
Kuna kitu huwa kinaitwa day dreaming na hiki ndo kinakusumbua, tangu enzi ya mtume muhammad swala na amani ziwe juu yake waislamu hawajapata kupungua bali wanazidi kila siku.

Zaidi ya watu milioni 3 na nusu wamesimama hapo kwaajili ya ibada, Kufa kwa chuki zako.
FB_IMG_1743172137909.jpg
 
Kuna kitu huwa kinaitwa day dreaming na hiki ndo kinakusumbua, tangu enzi ya mtume muhammad swala na amani ziwe juu yake waislamu hawajapata kupungua bali wanazidi kila siku.

Zaidi ya watu milioni 3 na nusu wamesimama hapo kwaajili ya ibada, Kufa kwa chuki zako.View attachment 3311525

Je shehe anavyosema uislam hauna mantiki anasema ukweli ama anadanganya ?

Je ni kweli ukifata logic uislamu utaukataa ?
 
Back
Top Bottom