Lupamba's grandson
JF-Expert Member
- Jan 9, 2015
- 1,232
- 1,196
Peaneni maujanja madogo ...NAKUMBUSHA TU TULIOZALIWA MIAKA YA 1980's
Mwaka Umri
1980 37
1981 36
1982 35
1983 34
1984 33
1985 32
1986 31
1987 30
1988 29
1989 28
Mdogo kabisa hapo ni mwenye miaka 28!
Bado hujaoa au kuolewa, kibaya zaidi unaishi kwa Wazazi wako, asubuhi ukiamka chai ya shikamoo, mnagombania vitumbua na wadogo zako na hata hujui maisha yana ugumu gani...Lol!
Jamani Wazee wenzagu tubadilike tuchukue hatua.
Next time nitataja na Orodha kabisa ya majina km walivyo Watuhumiwa wengine...
Kama upo ktk umri huo jitafakarKila jambo lina muda mkuu.
Acha mvua inyeshe kwa wakati wake.
Una maana gani?Kama upo ktk umri huo jitafakar
hahahahaha bhana mkuu umewaza nini ?NAKUMBUSHA TU TULIOZALIWA MIAKA YA 1980's
Mwaka Umri
1980 37
1981 36
1982 35
1983 34
1984 33
1985 32
1986 31
1987 30
1988 29
1989 28
Mdogo kabisa hapo ni mwenye miaka 28!
Bado hujaoa au kuolewa, kibaya zaidi unaishi kwa Wazazi wako, asubuhi ukiamka chai ya shikamoo, mnagombania vitumbua na wadogo zako na hata hujui maisha yana ugumu gani...Lol!
Jamani Wazee wenzagu tubadilike tuchukue hatua.
Next time nitataja na Orodha kabisa ya majina km walivyo Watuhumiwa wengine...
Kaamua kuchoma sindanohahahahaha bhana mkuu umewaza nini ?
hahahhahhahah bora mm hajanigusaKaamua kuchoma sindano
Kwny zone ujafika au umepitahahahhahhahah bora mm hajanigusa
cjafika bado hiyo zoneKwny zone ujafika au umepita