Megalodon
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 3,688
- 8,145
Tuliwaambia CCM haina kiongozi mwenye pure intelligence yaani AKILI NA UTASHI wa kubadili resources za Tanzania kuwa hela . Ni Majanga hilo Taifa.
Huyu Biteko aliingia kwenye Uwaziri na akafikia hatua anawatoa TANESCO wasihudhurie vikao vyake kujadili TATIZO la Umeme kwa sababu TANESCO ni sehemu ya Tatizo ; Hakujua kama na yeye ni sehemu ya TATIZO.
Kwa sasa anakiri wazi kuwa TANESCO kama Tanesco sio tatizo.Amekosa hoja hadi anaongea vitu irrelevant na wadau hapo wanamshangaa.
Huyu huyu Biteko alikuwa anaimba Tutauza Umeme nje; leo boss wake anautangazia Umma kuwa Tutanunua Umeme Ethiopia…… 🤣 Nchi ya Wendawazimu aisee …. Matokeo yake mnamuacha Msigwa anapambana kwenye mitandao kujustify vitu ambavyo sio justifiable .
Ni vitu vya aibu kuwa na viongozi ambao sio Honesty kwa wananchi wake.
The likelihood kuwa hawajamaa hawajui roadmap yao ni kubwa na ni ishara UFISADI ndani ya Ofisi kuu ya nchi upo mkubwa sana .The end does not justify the means
Mtu anajipangia kuongoza nchi hadi 2030 as if general élection imeshakamilika. Kuna kitu hakipo sawa Tanzania …… na walio wazunguka mabwana …..wengi ni wale elimu ya kuunga unga … na wengine ni form 4 failures ….. aibu ni kubwa.
Lazima Tujiulize kwanini CCM haitaki katiba mpya? Matatizo yote ya tz na mambo ya kuuza umeme mara kununua umeme yapo kwenye katiba.
Katiba mpya ni CUT-OFF POINT …..yaani ukisolve ishu ya KATIBA Basi 85% ya shida za TZ zitakuwa zimetatuliwa …. Umasikini utapungua sana na upupu na takataka kwenye vichwa vya watanzania utapungua.
KATIBA MPYA ni LAZIMA….. Chadema is to lead .
Dr Mega,
Canada