Is it true that Feeling of health produces health, and the feeling of wealth produces wealth?

Brojust

JF-Expert Member
Sep 17, 2016
296
787
Greetings

Welcome to the shorttest question with dozens of answers and explanations.

Question; Is it true that Feeling of health produces health, and the feeling of wealth produces wealth ?

If yes why ? If not then Explain ?

Summary book for answers; " THE POWER OF YOUR SUBCONSIOUS MIND " written by JOSEPH MURPHY

NB; Nimeuliza hilo swali sababu hapa JF kuna tabia ya baadhi ya watu kujiona ni wajuaji sana kwenye post za watu, mtu unaweka uzi mzuri tu watu wajadili, then linatokea lijuaji limoja eti umekosea spelling.

Sasa kwenye majibu ndio utaona nani ni kilaza na nani at least ana idea ya kilichoulizwa.

Nawasilisha.
 
Jibu ni ndio.

Sababu kuu hapo ni imani ukiwa na imani na ukasimamia katika kile unachokiamini kwa kuonyesha jitihada na vitendo basi jambo hilo linadhihilika.
 
Ni true mkuu pia ongezea kitabu cha "the master key system" na "mind magic"

Effect na condition ambayo unayaona kwenye ulimwengu(world without) ni matokeo ya cause( the way you think)

Mnamo mwaka 2023 niliiona simu sehemu ya samsung galaxy ni ya gharama sana lakini kikasema lazima nitakuja kuimiliki ,kila siku nilikua nikiiwaza

Jambo la kustaajabisha kuna siku kama miujiza ghafra nakuta nimepata ela nyingi bila kutafajia nikaingia dukani mwisho nikafanikiwa kuimiliki.

#punguza jazba
 
Ahsante sana lazima nikitafute hiki kitabu.
 
Back
Top Bottom