Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 3,814
- 13,580
Jesca Jonathan Msambatavangu – Mbunge wa Iringa Mjini
Chama: Chama Cha Mapinduzi (CCM)Kura katika Uchaguzi wa 2020: 41,401 (alishinda dhidi ya Peter Msigwa wa CHADEMA)
Elimu:
- Shule ya Msingi Iwawa (1987-1988)
- Shule za Msingi Madilu na Luvuyo
- Kilakala Secondary School (1989-1992) – CSEE
- Mkwawa High School (1992-1995) – Advanced Diploma (ACSE)
- Chuo Kikuu cha Tumaini (2004-2009) – Bachelor's na Master's Degree
- PhD kutoka Africa Graduate University (2016) katika Public Administration and Business Management
Uzoefu wa Kazi:
- Managing Director wa Star Schools (1999-2020)
- Managing Director wa Iringa Bureau De Change (2007-2019)
- Country Coordinator wa Eno Country - Environment Online (2010-2012)
Michango Bungeni:
- Jesca ameongoza michango 41 na ameuliza maswali 72.
- Alikuwa sehemu ya Kamati ya Nishati na Madini (2021-2023).
2. William Vangimembe Lukuvi – Mbunge wa Ismani
Chama: Chama Cha Mapinduzi (CCM)Kura katika Uchaguzi wa 2020: 24,934 (alishinda dhidi ya Sosopi Patrick Kapurwa wa CHADEMA)
Elimu:
- Shule ya Msingi Kitanewa (1962-1970) – Cheti cha Elimu ya Msingi
- Tabora TTC (1974-1975) – Cheti cha Ualimu
- Komsomol High School, Moscow (1982-1983) – Advanced Diploma in Political Science
- Washington International University (1999-2001) – Bachelor's Degree
Nyadhifa alizowahi kushika:
- Naibu Waziri wa Vijana na Kazi (1995-2000)
- Waziri katika Ofisi ya Waziri Mkuu (2000-2005)
- Waziri wa Ardhi, Nyumba, na Maendeleo ya Makazi (2015-2022)
- Mshauri wa Rais kuhusu masuala ya kisiasa na mahusiano ya kijamii (2023)
Kazi za nje ya siasa:
- Alifanya kazi ya ualimu (1975-1980)
Michango Bungeni:
Lukuvi ameongoza michango 19 na ameuliza maswali 54.
3. Jackson Gedion Kiswaga – Mbunge wa Kalenga
Chama: Chama Cha Mapinduzi (CCM)Kura katika Uchaguzi wa 2020: 43,482 (alishinda dhidi ya Tendega Grace Victor wa CHADEMA)
Elimu:
- Shule ya Msingi Nyamihuu (1982-1988)
- Shule ya Sekondari Pomerini (1989-1991, alihamisha masomo)
- Shule ya Sekondari Ruaha (1992, alipata cheti cha CSEE)
- Chuo cha Cambridge (Diploma, 1997-1998)
- Chuo cha Cambridge (Diploma, 2003-2004)
Uzoefu wa Kazi:
- Mlezi wa Umoja wa Vijana wa CCM (2012-2015)
- Mwenyekiti wa Baraza la Wilaya CCM (2017)
Michango Bungeni:
- Jackson ameongoza michango 24 na ameuliza maswali 68.
- Alikuwa sehemu ya Kamati ya Kilimo, Mifugo, na Maji (2021-2023).
4. Nyamoga Lazaro Justin – Mbunge wa Kilolo
Chama: Chama Cha Mapinduzi (CCM)Kura katika Uchaguzi wa 2020: 64,638 (alishinda dhidi ya Jully Petro Mugula wa CHADEMA)
Elimu:
- Shule ya Msingi Kimala (1980-1986) – Cheti cha CPEE
- Shule ya Sekondari Malangali (1987-1990) – CSEE
- Chuo cha Mzumbe (1998) – Bachelor's in Health Management
- Shahada ya Uzamili katika Usimamizi wa Huduma za Afya (2004)
- Diploma ya Uongozi wa Mtendaji kutoka Oxford (2020)
Uzoefu wa Kazi:
- Mlezi wa Umoja wa Vijana wa CCM (2012-2015)
- Mwenyekiti wa Baraza la Wilaya CCM (2017)
Michango Bungeni:
- Nyamoga ameongoza michango 33 na ameuliza maswali 82.
Kazi za nje ya Siasa:
- Alifanya kazi katika Kilimanjaro Christian Medical Center (1998-2000)
- Coordinator wa Ufuatiliaji na Tathmini katika Baraza la Kikristo la Tanzania (2002)
- Kazi katika Tanzania Interfaith Partnership (2009-2011)
- Mkurugenzi wa Tear Fund (2012-2020)
5. Exaud Silaoneka Kigae – Mbunge wa Mufindi Kaskazini
Chama: Chama Cha Mapinduzi (CCM)Kura katika Uchaguzi wa 2020: 25,408 (alishinda dhidi ya Masonda Kigobela Jumanne wa CHADEMA)
Elimu:
- Shule ya Msingi Nondwe (1980-1986) – Cheti cha PCEE
- Shule ya Sekondari Mdabulo (1990-1993) – CSEE
- Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (1997-2000) – Digrii ya kwanza
- Indian Institute of Foreign Trade (2004-2006) – Digrii ya pili
Uzoefu wa Kazi:
- Naibu Waziri wa Biashara, Viwanda na Uwekezaji (2020 - sasa)
- Mwenyekiti wa Kamati ya Wazazi ya CCM (2012-2017)
Michango Bungeni:
- Exaud ameongoza michango 12 na ameijibu maswali 306.
Kazi za nje ya Siasa:
- Acting Assistant Director (Principal Statistician) katika Ministry of Industry and Trade (2005-2020)
- Postal Controller katika Tanzania Postal Corporation (2001-2005)
- Credit Officer katika Mufindi Community Bank (2000-2001)
6. David Mwakiposa Kihenzile – Mbunge wa Mufindi Kusini
Chama: Chama Cha Mapinduzi (CCM)Kura katika Uchaguzi wa 2020: 59,793 (alishinda dhidi ya Kitalika Emanuel Thika wa CHADEMA)
Elimu:
- Shule ya Msingi Lutusyo (1993-1999) – Cheti cha CPEE
- Mbozi Mission Secondary School (2001-2003) – CSEE
- Chuo cha Mzumbe (2009) – Bachelor's Degree katika Usimamizi wa Umma
- Center for Foreign Relations (2011-2013) – Postgraduate Diploma katika Usimamizi wa Mahusiano ya Kimataifa
- Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (2014-2016) – Master's Degree katika Business Administration
- PhD candidate katika University of Dodoma (masomo yameahirishwa)
- LLB candidate katika Open University of Tanzania
Nafasi za Kazi na Kitaaluma:
- Tanzania Red Cross Society:
- Rais: 2019 - Hadi sasa
- Mwanachama Hai na Msaidizi wa Hiari: 2006 - Hadi sasa
- Mjumbe wa Kamati ya Usimamizi ya Kanda (Dar es Salaam): 2012 - 2019
- Kata ya Mabibo - Afisa Mtendaji wa Kata: 2010 - 2011
- Revenue Office (City Service Levy) - Afisa Mapato: 2012 - 2014
- Manispaa ya Kinondoni - Afisa Rasilimali Watu: 2014 - 2016
- Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Arusha - Katibu Tawala wa Wilaya (DAS): 2016 - 2020
- Ofisi ya Kata ya Sinza - Afisa Mtendaji wa Kata: 2011 - 2014
Uzoefu wa Kisiasa:
- Chama cha Siasa:
- Mwenyekiti wa Tawi la UVCCM, Chuo Kikuu cha Mzumbe: 2007 - 2008
- Mwanachama wa Baraza Kuu la UVCCM Taifa: 2012 - 2017
- Mwanachama wa Baraza Kuu Wazazi Taifa: 2012 - 2017
- Mwenyekiti wa Timu ya Kampeni ya Kitaifa UVCCM - Uchaguzi Mkuu: 2015
- Bunge la Tanzania:
- Mbunge: 2020 - 2025
- Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Biashara, Viwanda, Kilimo na Mifugo: 2021 - 2023
- Youth of United Nations of Tanzania (YUNA):
- Mratibu na Mjumbe wa Kamati ya Utendaji: 2008 - 2010