Sir John Roberts
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 12,560
- 23,186
Kituo kinachofuata baada ya Beirut ni TehranIran imetoa ONYO kuwa nchi yeyote ya kiarabu itakayosaidia Israel na marekani kuishambulia basi itakumbana na matatizo makubwa.
Kazi kwako Saudi Arabia na vibaraka wengine wa marekani hapo Middle East .
View attachment 3119613View attachment 3119615
Hawa watu ni tatizo sijui kww nini mtu akishaasoma biblia aya 2 basi ruksa kufungua kanisaTusubiri maoni kutoka kwa walokole wa uswahilini wanaosali kwenye yale makanisa mabati na viti vya baa, maana wale huwaelezi kitu kuhusu taifa teule
Hamna kitu watafanya, kwa miaka mingapi sasa western forces wamekuwa wakitumia ardhi za majirani zake? Tena wana base? Wameziadhibu hizo nchi kwa lolote?Iran imetoa ONYO kuwa nchi yeyote ya kiarabu itakayosaidia Israel na marekani kuishambulia basi itakumbana na matatizo makubwa.
Kazi kwako Saudi Arabia na vibaraka wengine wa marekani hapo Middle East .
View attachment 3119613View attachment 3119615
Iran katumia anga ipi na ipi mkuuYaani wao Iran watumie anga za wengine kurusha makombora kwenda Israel, ila Israel isitumie hizo hizo anga kulipiza? Upuuzi huo
Saudi Arabia ilipoungana na USA dhidi ya Houthi ili wambakishe Mansour madarakani,kila siku ilikua petroleum plant za Saudi Arabia zililipuliwa na kuwasababishia hasara za mabilioni ya dola.Hamna kitu watafanya, kwa miaka mingapi sasa western forces wamekuwa wakitumia ardhi za majirani zake? Tena wana base? Wameziadhibu hizo nchi kwa lolote?
Kila siku zilipuliwa una uhakika? Saudi waliacha kuzalisha mafuta? Waliyumba kiuchumi?Saudi Arabia ilipoungana na USA dhidi ya Houthi ili wambakishe Mansour madarakani,kila siku ilikua petroleum plant za Saudi Arabia zililipuliwa na kuwasababishia hasara za mabilioni ya dola.
Pia kuna hatari ya Iran kufunga strait of hurmoz.
Tumia akiliYaani wao Iran watumie anga za wengine kurusha makombora kwenda Israel, ila Israel isitumie hizo hizo anga kulipiza? Upuuzi huo
Kwani ni lini hizo nchi za kiarabu zilitumika kuipiga Iran mpaka useme hamna kitu watafanya?Hamna kitu watafanya, kwa miaka mingapi sasa western forces wamekuwa wakitumia ardhi za majirani zake? Tena wana base? Wameziadhibu hizo nchi kwa lolote?
Hapo ndio mwisho wa Israel na mwenyewe anajua hilo. Si umeona mpaka sasa kimya tangu apigwe kipigo kitakatifu tarehe 1 oktoba.Kituo kinachofuata baada ya Beirut ni Tehran
Iran na Iraq na Syria wapo kitu kimoja na ndio njia aliyotumia.Yaani wao Iran watumie anga za wengine kurusha makombora kwenda Israel, ila Israel isitumie hizo hizo anga kulipiza? Upuuzi huo